Results for aliyeweza translation from Swahili to French

Swahili

Translate

aliyeweza

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo.

French

cet homme avait sa demeure dans les sépulcres, et personne ne pouvait plus le lier, même avec une chaîne.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.

French

nul ne put lui répondre un mot. et, depuis ce jour, personne n`osa plus lui proposer des questions.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hakuna mtu aliyeweza kuufuga ulimi. ulimi ni kitu kiovu, hakitawaliki, na kimejaa sumu inayoua.

French

mais la langue, aucun homme ne peut la dompter; c`est un mal qu`on ne peut réprimer; elle est pleine d`un venin mortel.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.

French

et personne dans le ciel, ni sur la terre, ni sous la terre, ne put ouvrir le livre ni le regarder.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hekalu likajaa moshi uliosababishwa na utukufu na nguvu ya mungu, na hakuna mtu aliyeweza kuingia hekaluni mpaka mwisho wa mabaa makubwa saba ya wale malaika saba.

French

et le temple fut rempli de fumée, à cause de la gloire de dieu et de sa puissance; et personne ne pouvait entrer dans le temple, jusqu`à ce que les sept fléaux des sept anges fussent accomplis.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikuwa wanaimba wimbo mpya mbele ya kiti cha enzi na mbele ya wale viumbe hai wanne na wale wazee. hakuna mtu aliyeweza kujifunza wimbo huo isipokuwa hao watu mia moja arobaini na nne elfu waliokombolewa duniani.

French

et ils chantaient un cantique nouveau devant le trône, et devant les quatre êtres vivants et les vieillards. et personne ne pouvait apprendre le cantique, si ce n`est les cent quarante-quatre mille, qui avaient été rachetés de la terre.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utawala wa bush uliodanganya,uliolaghai, uliodhulumu dunia, na zaidi ya yote uliowadhulumu wairaki... kwangu mimi, hili si jambo linalohusu historia tu, hii inahusu mtu aliyeweza kuwashusha watu walioivunja nchi yangu.

French

l'administration bush a menti, trompé, grugé le monde, et les irakiens plus que tous les autres. … pour moi, il ne s'agit pas seulement de l'histoire, il s'agit de quelqu'un qui a réussi à vaincre les personnes qui ont détruit mon pays.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati bloga living guyana alijibu swali la bbc kurasa ya michezo na mwanahabari matt slatter kwenye twita lililouliza "je, ni kweli nimemuona mwanadamu anayekimbia upande upande, akijipigapiga kifua na aliyeweza kukimbia mita 100 kwa sekunde 9.69? alimjibu pia kwa namna ya uhakika "ah ni kweli matt umemuona.

French

living guyana a répondu un peu sèchement au commentaire du reporter matt slater sur bbc sport' (“est-ce que j'ai vraiment vu un type traverser la ligne d'arrivée de travers, battre le tambour sur son torse après avoir couru 100 mètres en 9.69 secondes ?” ) par un très détaché “oh, oui matt, tu as bien vu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,950,866,978 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK