Results for jirani translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kumbe ilikuwa ni shukrani kutoka kwa jirani yao.

French

le voisin l'avait remercié.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati tulipokuwa tunaishi uganda, yalikuwa jirani zangu.

French

quand nous vivions en ouganda, c'était mes voisins.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyumba ya jirani yake iliporwa na askari waliokuwa wakiukimbia mji.

French

la maison de ses voisins a été pillée par des soldats en fuite.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sio ikiwa jirani masikini, siku zote ikisubiri mkono wa kuinusu.

French

pas d'un parent pauvre, qui tend éternellement la main.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kati ya wahaiti laki 4 na laki 6 wanaishi katika mataifa hayo jirani.

French

ce sont entre 400 et 600 000 citoyens haïtiens qui résident dans l'une de ces deux pays voisins.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, ni nani anayependa kuishi katika mvutano usiokoma na jirani yake?

French

qui veut vivre en tension permanente avec ses voisins ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa, janga hili lilienea haraka katika miji, mikoa na nchi jirani.

French

entre-temps, l’épidémie s’était rapidement propagée aux villes, provinces et pays voisins.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hakika tuliiangamiza miji ilio jirani zenu, na tulizitumia ishara ili wapate kurejea.

French

nous avons assurément fait périr les cités autour de vous; et nous avons diversifié les signes afin qu'ils reviennent (de leur mécréance).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza jirani yake kwa wema ili huyo apate kujijenga katika imani.

French

que chacun de nous complaise au prochain pour ce qui est bien en vue de l`édification.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waheshimu baba yako na mama yako; na, mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe."

French

et: tu aimeras ton prochain comme toi-même.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula."

French

renvoie-les, afin qu`ils aillent dans les campagnes et dans les villages des environs, pour s`acheter de quoi manger.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hata tumefanya matembezi katika maeneo ya jirani mara kadhaa na linaonekana kuwa jambo la kawaida na wala halisumbui.

French

nous nous sommes même promenés quelques fois autour de la maison et je me suis sentie tout à fait à l'aise.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alirudi galilaya akiwa amejaa nguvu za roho mtakatifu, na habari zake zikaenea katika sehemu zote za jirani.

French

jésus, revêtu de la puissance de l`esprit, retourna en galilée, et sa renommée se répandit dans tout le pays d`alentour.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chakula chake cha jioni, jijini aleppo, anakipata akisikia sauti za mabomu yakidondoka jirani na aliko:

French

a alep, on dine au son des tirs de mortier :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kufutia tukio hili, wanajeshi wa nigeria waliungana na majeshi ya nchi nyingine za jirani katika kukabiliana na kundi la boko haram.

French

le pays s'organise avec ses voisins pour contrer les attaques du groupe terroriste.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alieleza jambo hili kwa sanyi, mkewe, ambaye alimkemea na kumwambia kwamba alikuwa mpumbavu kwa kufanya kazi katika sehemu ya jirani waliyemchukia.

French

il a expliqué cela à sayi quand elle lui a fait remarquer que c'était stupide de travailler à la place du voisin détesté.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ninavutiwa sana na gesi inayotokana na samadi kwa sababu ninaamini kuwa ina uwezo mkubwa siyo tu kwa napal bali hata kwa nchi jirani kama vile india na bangladeshi.

French

“je m'intéresse beaucoup au biogaz car je crois qu'il a un immense potentiel, non seulement au népal mais aussi dans les pays voisins comme l'inde et le bangladesh.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kiasi fulani cha mbolea hiyo kilikuwa na mchanga mwingi kuliko mbolea wakati sehemu kubwa ya mbolea hiyo ya ruzuku ya serikali ilivushwa nje ya mipaka yetu na kupelekwa katika nchi jirani ambapo iliuuzwa kwa bei halisi ya soko.

French

quelques engrais qui avaient été livrés contenaient plus de sable que d'engrais, tandis qu'une grande partie des engrais subventionnés par le gouvernement avait réussi à traverser les frontières des pays voisins, où l'engrais avait été vendu aux prix courants du marché.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha isiyojulikana imewekwa na nani mtandaoni.wakati huo huo, medvedev alimaliza bandiko lake kwenye mtandao wa twita kwa kuiita ukraine "jirani masikini":

French

image anonyme trouvée en ligne.et medvedev de conclure son texte sur facebook en appelant l'ukraine un "parent pauvre" :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@fanamokoena: inasikitisha kwamba vyombo vya habari vya afrika kusini vinatupa habari za mara kwa mara kuhusu uchaguzi wa ufaransa lakini vinashindwa kufanya hivyo kwa nchi jirani ya lesotho.

French

@fanamokoena: c'est gênant que les médias sud-africains nous donnent des mises à jour quotidiennes sur les élections françaises, mais ne parviennent pas à faire la même chose pour le lesotho, pays frère.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,944,404,263 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK