Results for jukumu translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kabla ya jukumu linaloweza kuambukiza bakteria, na

French

avant un geste aseptique; et

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

don mitxel erregea anazua maswali kuhusu jukumu la dini:

French

don mitxel erregea s'interroge sur le rôle des religions:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuwa tayari kushughulikia janga ni sehemu ya jukumu la rcgp rsc.

French

la préparation face aux pandémies fait partie du rôle du rsc du rcgp.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyinyi hamna jukumu kwa niyatendayo, wala mimi sina jukumu kwa myatendayo.

French

vous êtes irresponsables de ce que je fais et je suis irresponsable de ce que vous faites».

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala msile mali zao pamoja na mali zenu. hakika yote hayo ni jukumu kubwa.

French

ne mangez pas leurs biens avec les vôtres: c'est vraiment un grand péché.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jukumu la vyombo vya habari lilihojiwa pale walipohamia kwa begum na kujaribu kumhoji.

French

au lieu de répondre à ces questions, elle a besoin d’aide médicale tout de suite. les familles des ouvrières portées disparues ou décédées restent encore optimistes 17 jours après l’accident image de shafiur rahman.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kupiga kura ni jukumu letu kwa wale wote walioyatoa maisha yao wakafa kwa ajili ya kutuletea haki.

French

il faut aller voter, c un devoir envers ceux qui sont morts pour nous l'octroyer ce droit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kikundi cha wataalam ilisema kuwa kila mtu ana haki ya mikakati ya kuokoa maisha na serikali ina jukumu hili.

French

le groupe d’experts a indiqué que tout le monde était en droit de bénéficier d’interventions de secours et que cette responsabilité incombait au gouvernement.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huku ni kujitoa mwenyezi mungu na mtume wake kwenye jukumu la maagano na mlio ahidiana nao katika washirikina.

French

désaveu de la part d'allah et de son messager à l'égard des associateurs avec qui vous avez conclu un pacte:

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo basi, ndugu zangu, tunalo jukumu, lakini si la kuishi kufuatana na maumbile ya kibinadamu.

French

ainsi donc, frères, nous ne sommes point redevables à la chair, pour vivre selon la chair.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni kazi na jukumu la utengenezaji wa dawa kutathmini vigezo hivi vyote kabla ya majaribio ya kimatibabu kwa binadamu ili kudhibitisha usalama na ufanisi.

French

le développement d’un médicament a pour fonction et obligation d’évaluer tous ces paramètres avant les essais cliniques chez l’être humain visant à évaluer sa sécurité et son efficacité.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

the pinoy catholic anatoa msimamo unaofanana na ule wa viongozi wa kanisa na kwa nguvu zote anapendekeza kuwa elimu ya ngono ibaki kuwa jukumu la wazazi.

French

le blog the pinoy catholic qui soutient la position officielle du clergé philippin pense que l'éducation sexuelle devrait être laissée aux parents.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aidha, ni jukumu letu kama waislamu kuhifadhi na kulinda maisha ya wote wasio na hatia, hii ikiwa ni pamoja walioko makanisani.

French

bien plus, il est même de notre devoir de musulmans de sauvegarder et protéger toute vie innocente, y compris dans les églises.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jukumu la waenezaji hawa wasioonyesha dalili katika maambukizo bado halijulikani kabisa, hata hivyo, ushahidi wa awali unaonyesha kuwa wanaweza kuchangia kwa usambazaji wa ugonjwa.

French

le rôle de ces porteurs asymptomatiques dans la transmission n’est pas encore totalement connu, cependant des éléments préliminaires suggèrent qu’ils pourraient contribuer à la propagation de la maladie.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bila ya shaka watu hawa wananyunyuziwa rangi ya waridi ili polisi waweze kuwanyanyapaa na kuwahoji na kuwaonea wakati wanajaribu kuvunja moyo wao wa jukumu la kiraia na uhuru wa kujieleza!

French

il est évident que ces gens ont été aspergés de rose pour que la police puisse les poursuivre et les interroger et les persécuter pour détruire leur esprit civique et leur sens de la liberté d'expression !

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alitambua, hata hivyo, kuwa kuchapisha jina la mtoto kulikiuka sera ya jarida lathe times, hata kama alipata ruhusa kutoka kwa mwanamke anayebeba jukumu la kumlea mtoto.

French

il reconnut cependant qu’imprimer son nom violait la politique du times, même s’il avait reçu l’autorisation d’une femme qui jouait le rôle de tutrice de l’enfant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uundaji wa chanjo salama na faafu dhidi ya sars-cov-2 kwa watu wasiokuwa na kinga ya mwili ni jukumu la dharura na muhimu la kudhibiti janga hili linaloendelea.

French

le développement d’un vaccin sûr et efficace contre le sars-cov-2 pour les individus non immunisés constitue un objectif urgent et essentiel en vue de contrôler l’épidémie en cours.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

shule zinapofungwa, watoto wengine na vijana wanakosa mtagusano wa kijamii ambao ni muhimu katika mafunzo na maendeleo.shule zinapofungwa, wazazi huulizwa mara kwa mara kuwezesha watoto kusoma nyumbani na wanaweza kutatizika kufanya jukumu hili.

French

lorsque les écoles sont fermées, de nombreux enfants et jeunes sont privés de contacts sociaux essentiels pour l’apprentissage et le développement. lorsque les écoles ferment, les parents sont souvent appelés à faciliter l’apprentissage des enfants à la maison et peuvent avoir des difficultés à accomplir cette tâche.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gumzo la tarehe 27 mwezi wa pili lilitoa tamko kama vile umuhimu wa kublogu kwa watu walioathirika na virusi vya ukimwi na jukumu katika upelekaji na ushawishi wa maarifa,lakini kikubwa lililenga kwenye muongozo wa kublogu vyema ,muongozo ulitengenezwa na global voices kutoa ushauri tunu jinsi ya kublogu kuhusu masuala ya virusi vya ukimwi na ukimwi.

French

le chat du 27 février a abordé des sujets tels que pourquoi les blogs peuvent être importants pour des personnes affectées par le vih/sida et les rôles essentiels d'une tutelle et de la diffusion de l'information, mais il a été principalement consacré au guide “bloguer utile” , un guide créé par global voices pour fournir les conseils utiles sur la façon dont il faut bloguer au sujet du hiv/sida.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alitilia mkazo "jukumu la indonesia katika kudhibiti matatizo ya dunia, yanayojumuisha ugaidi, uchumi wa kujihami, mabadiliko ya hali ya hewa(kuongezeka kwa joto) na matatizo ya kiuchumi."

French

elle a affirmé dans un discours le rôle de l'indonésie "dans le traitement des problèmes mondiaux, à savoir le terrorisme, le protectionnisme, le changement climatique et la crise économique".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,946,104,304 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK