Results for kufanyika translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

kufanyika

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

uchaguzi wa rais umepangwa kufanyika tarehe 25 oktoba, 2013 :

French

l'élection présidentielle devrait commencer le 25 octobre 2013 :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maambukizi kupitia njia ya kinyesi na mdomo yanaweza pia kufanyika.

French

une transmission par voie oro-fécale serait également possible.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maandamano yaliyopangwa nchini humo yamezimwa na mamlaka kabla ya kufanyika.

French

les manifestations organisées dans le pays ont été étouffées dans l'oeuf par les autorités.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

namna usajili utakavyofanyika kwa mafanikio ndiyo itakuwa kiashiria cha uchaguzi kufanyika.

French

le fait que le dépôt des candidatures se passe bien devrait préjuger de la tenue des élections.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii lazima kufanyika katika ngazi ya kitaifa na muhimu zaidi, katika ngazi za mitaa

French

cela doit être fait au niveau national et, c'est essentiel, au niveau local.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

michango ya mara kwa mara haitozwi kodi nchini marekani, na inaweza kufanyika kupitia ukurasa wetu wa kuchagia.

French

les dons sont déductibles des impôts (aux États-unis seulement pour l'instant), et vous pouvez obtenir toutes les informations nécessaires sur notre page faire un don.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii itakuwa mara ya kwanza kwa kongamano hili kufanyika afrika mashariki na wengi wetu kutoka eneo hili tunataka kuwakaribisha wageni wetu.

French

c'est la première fois que cette conférence est tenue en afrique de l'est et nombreux parmi nous dans la région voudrons sûrement souhaiter une chaleureuse bienvenue - karibu (swahili) à nos visiteurs à l'occasion de cet événement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kimya cha vyombo vya habari na kutokuwepo kwa haki ya kitaasisi, jambo pekee linalowezekana kufanyika ni kuandamana!

French

quand il n'y a ni médias et ni justice, la seule chose que l'on puisse faire, c'est de manifester !

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

asasi za kiraia nchini angola zinatoa wito wa uwazi zaidi katika maandalizi ya uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 31 agosti, 2012.

French

la société civile angolaise exhorte à une plus grande transparence durant la préparation des prochaines élections générales prévues pour le 31 août 2012.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilifanya ripoti ya uchunguzi katika suala hili mapema kazini ambapo waziri wa ulinzi wa kenya alidai kwa msimamo kwamba kenya haikutoa ruhusa kwa mafunzo haya kufanyika.

French

j'ai effectué auparavant une enquête sur ce problème au travail, faisant ressortir que la ferme affirmation du ministre de la défense du kenya que le kenya n'avait pas donné d'autorisation pour ce recrutement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

daktari aye maung ambaye ni mbunge na rais wa chama cha rakhine nationalities development alihoji kuwa utoaji wa misaada unaweza kufanyika bila ya kuweka ofisi ya oic nchini:

French

le dr aye maung, député et président du parti pour le développement des nationalités rakhine, a fait valoir que l'aide et les dons pouvaient être organisés sans l'installation d'un bureau de l'oic dans le pays :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa jamii zaidi na zaidi zinaanza kugundua uwezekano wa kuweka lugha zao mtandaoni, hatua zaidi na zaidi zinahitajika kufanyika ili kujaribu kukuza uelewa na kutangaza juhudi hizi.

French

même si de plus en plus de communautés commencent à découvrir les possibilités de partage en ligne dans leur langue, on peut encore faire beaucoup plus pour sensibiliser et mettre en évidence ces efforts.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, usambazaji wa sars-cov ulizingatiwa kufanyika wakati wagonjwa ni wagonjwa vibaya sana, ingawa usambazaji mwingi haukufanyika katika awamu ya mapema.

French

cependant, il était considéré que le sars-cov était transmis par les patients gravement malades, avec une très faible probabilité de transmission dans la première phase.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maambukizi kutoka kwa vitu yanaweza kufanyika, kwa mfano, ikiwa mtu atapiga chafya, kugusa kitasa cha mlango, na kisha watu wengine kusa kitasa hicho cha mlango na kisha kugusu nyuso zao.

French

une transmission par l’intermédiaire d'objets est possible, par exemple si quelqu’un éternue et touche une poignée de porte, puis que d’autres personnes touchent la poignée de porte et ensuite leur visage.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

inafaa, ufuatiliaji wa kimatibabu kufanyika katika chumba cha mtu aliyejitengwa.kwa shule na majengo ya kulinda watoto, cdc inapendekeza kufungwa kwa muda kupangusa au kusafisha kwa dawa ikiwa mtu aliyeambukizwa amekuwa katika jengo shuleni bila kujali usambazaji wa kijamii.

French

idéalement, un suivi médical doit avoir lieu dans la cabine de la personne isolée. pour les établissements scolaires et de garde d’enfants, les cdc recommandent une fermeture à court terme à des fins de nettoyage et de désinfection si une personne infectée s’est rendue dans un bâtiment scolaire, indépendamment de la propagation communautaire.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maadhimisho ya siku ya uhuru kwa mwaka huu yameweka historia ya kuwa maadhimisho ya kwanza kufanyika katika miaka 50 bila kuhudhuriwa na rais aliye madarakani kufuatia rais michael sata kuwa nje ya nchi katika kile wasaidizi wake wanachokiita “uchunguzi wa afya yake.”

French

les célébrations de cette année ont vu, pour la première fois en 50 ans d'indépendance, l'absence du chef de l'état en exercice lors des festivités. le président michael sata (depuis décédé) était à l'étranger pour ce que son entourage a appelé un "contrôle médical."

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baada ya kusababisha mshangao kote barani afrika kwa matamshi aliyoyatoa mbele ya vyombo vya habari siku moja kablda, elysée ilisema "inalaani ghasia zozote na inaunga mkono uhuru wa kujieleza. anatoa mfano wa hotuba yake aliyoitoa jijini dakar mnamo novemba 29, 2014 alizungumzia matarajio yake kwa katiba zote kuheshimiwa na zoezi la kuwasikiliza wapiga kura kufanyika katika mazingira yenye uwazi wa kutosha."

French

dans un communiqué tardif, après des propos tenus la veille qui avaient déçu toute l’afrique, l’elysée « condamne toute violence et soutient la liberté d’expression. rappelle qu’il avait souhaité, lors de son discours prononcé à dakar, le 29 novembre 2014, que les constitutions soient respectées et que les consultations électorales se tiennent dans des conditions de transparence incontestables. »

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,253,040 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK