From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
huyo mfarisayo alistaajabu kuona kwamba alikula chakula bila kunawa.
le pharisien vit avec étonnement qu`il ne s`était pas lavé avant le repas.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kunawa mikono vizuri kunahitaji kusugua mikono yako kwa angalau sekunde 20.
pour que le lavage des mains soit efficace, il est nécessaire de se frotter les mains pendant au moins 20 secondes.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
jaribu kupunguza kufanya hivi, na ujaribu kunawa mikono yako kabla ya kugusa uso wako.
essayez de le faire moins et de vous laver les mains avant de vous toucher le visage.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kumbuka kwamba barakoa si mbadala wa usafi: endelea kunawa mikono yako mara kwa mara.
n’oubliez pas que les masques ne remplacent pas une bonne hygiène : continuez à vous laver les mains fréquemment.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa.
ils virent quelques-uns de ses disciples prendre leurs repas avec des mains impures, c`est-à-dire, non lavées.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hayo ndiyo yanayomtia mtu najisi. lakini kula chakula bila kunawa mikono hakumtii mtu najisi."
voilà les choses qui souillent l`homme; mais manger sans s`être lavé les mains, cela ne souille point l`homme.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
maana mafarisayo na wayahudi wengine wote huzingatia mapokeo ya wazee wao: hawali kitu kabla ya kunawa mikono ipasavyo.
or, les pharisiens et tous les juifs ne mangent pas sans s`être lavé soigneusement les mains, conformément à la tradition des anciens;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kunawa mikono yako na kabla ya kuketi chini, tumia vipangusaji vya kuua viini kupangusa eneo karibu na kiti chako.
après vous être lavé les mains et avant de vous asseoir, utilisez des lingettes désinfectantes pour essuyer la zone autour de votre siège.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kuwa virusi vya korona ni virusi vilivyofungwa, kunawa mikono yako kwa sabuni huua virusi hivyo kwa kutatiza kifuniko hicho cha virusi chenye mafuta.
Étant donné que les coronavirus sont des virus enveloppés, le lavage des mains au savon tue le virus en désorganisant l’enveloppe virale principalement lipidique.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ukuzaji na utetezi wa kuosha mikono kwa sabuni unaweza kuathiri maamuzi ya sera, kuongeza ufahamu kuhusu manufaa ya kunawa mikono na kusababisha mabadiliko ya tabia ya muda mrefu ya watu.
le fait de promouvoir le lavage des mains au savon et de mener des activités de sensibilisation à cet égard peut influencer les décisions politiques, faire connaître les avantages liés à cette pratique et entraîner un changement de comportement à long terme au sein de la population.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu akamwambia, "aliyekwisha oga hana lazima ya kunawa isipokuwa miguu, maana amekwisha takata mwili wote. ninyi mmetakata, lakini si nyote."
jésus lui dit: celui qui est lavé n`a besoin que de se laver les pieds pour être entièrement pur; et vous êtes purs, mais non pas tous.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
siku ya kuosha mikono ya dunia ni mfano mwingine wa kampeni ya kuongeza ufahamu inayojaribu kuleta mabadiliko ya tabia.kutokana na janga kuu la virusi vya korona la 2019-20, unicef iliboresha kutumika kwa emoji ya kunawa mikono.
la journée mondiale du lavage des mains est un autre exemple de campagne de sensibilisation qui prétend fomenter l’évolution des comportements.suite à la pandémie de coronavirus de 2019-2020, l’unicef a encouragé l’adoption d’un emoji illustrant le lavage des mains.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kuosha mikono (au kunawa mikono), ambako pia kunajulikana kama usafi wa mikono, ni kitendo cha kusafisha mikono kwa madhumuni ya kuondoa mchanga, uchafu, viini au vitu vingine visivyotakana.
le lavage des mains, également appelé hygiène des mains, correspond au fait de se nettoyer les mains afin d’en retirer les saletés, la graisse, les microorganismes ou d’autres substances indésirables.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: