Results for kupendeza translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kupendeza

French

c’est charmant

Last Update: 2023-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ishi nalo… ni anga ya kupendeza leo.

French

le ciel est limpide et beau aujourd'hui.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo atakuwa katika maisha ya kupendeza.

French

il sera dans une vie agréable;

Last Update: 2023-10-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi yeye atakuwa katika maisha ya kupendeza,

French

il jouira d'une vie agréable:

Last Update: 2023-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bila shaka litakuwa jambo la kupendeza kulichungua ili kujifahamisha.

French

la réponse à cette question ne manquera pas d'intérêt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: haviwi sawa viovu na vyema ujapo kupendeza wingi wa viovu.

French

dis: «le mauvais et le bon ne sont pas semblables, même si l'abondance du mal te séduit.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au nani yule aliye ziumba mbingu na ardhi, na akakuteremshieni maji kutoka mbinguni, na kwa hayo tukaziotesha bustani zenye kupendeza?

French

n'est-ce pas lui qui a créé les cieux et la terre et qui vous a fait descendre du ciel une eau avec laquelle nous avons fait pousser des jardins pleins de beauté.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuna machaguo mbalimbali ya vyakula katika barabara ya kupendeza ufukweni mwa bahari, kuanzia migahawa ya ya anasa mpaka maduka ya vyakula vya haraka au hata vijiduka vidogo vya biskuti na chipsi.

French

il y a un grand choix pour manger le long de la corniche, depuis les restaurants sophistiqués jusqu'aux fast-foods ou même les petits stands de biscuits et de frites.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na watu watahubirije kama hawakutumwa? kama yasemavyo maandiko matakatifu: "ni jambo la kupendeza mno kuja kwa wale wanaohubiri habari njema!"

French

et comment y aura-t-il des prédicateurs, s`ils ne sont pas envoyés? selon qu`il est écrit: qu`ils sont beaux les pieds de ceux qui annoncent la paix, de ceux qui annoncent de bonnes nouvelles!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

napendekeza upite katika barabara hiyo mapema alfajiri au jioni saa 12 ili uweze kujionea maumbile ya kupendeza baharini, pia kuna chemchem ya baharini, moja ya chemchem zilizoko juu zaidi kuliko nyingine yoyote duniani.

French

je suggère de la visiter le matin de bonne heure ou à 6 heures du soir pour voir les sculptures en plein air le long de la côte, il y a aussi le jet d'eau de mer de djeddah, un des plus hauts jets d'eau du monde.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mtu mgeni ni rahisi kujiuliza: inawezekanaje kwamba nchi hii ya kupendeza, ambayo mara nyingi watu wengi barani afrika huichukulia kama ya kupigiwa mfano kwa namna yake bora ya uendeshaji, inakuwaje kwamba iliingia katika unyama huo mkubwa usiosimulika?

French

un nouvel arrivant se demande : comment ce magnifique pays, systématiquement présenté par les africains comme l'un de ceux fonctionnant le mieux sur le continent, a-t-il pu vivre une telle sauvagerie ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,571,471,784 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK