Results for kuzimu translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kuzimu

French

séjour des morts

Last Update: 2014-10-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

maisha yako yatageuka kuwa ni yale ya kuzimu.

French

votre vie va devenir un calvaire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

misri: makao makuu ya kuzimu duniani

French

egypte: capitale de l'enfer sur terre

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

nyie manaopiga kelele za kuutukuza ushoga, mkafie kuzimu.

French

promoteurs de l'homosexualité, allez en enfer.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

jumapili nilijikuta kwenye masaa matatu ya kuzimu hapa hapa duniani.

French

mais dimanche j'ai été soumis à plus de trois heures de cet enfer sur terre.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kwa kuwa hutaiacha roho yangu katika kuzimu, wala kumruhusu mtakatifu wako aoze.

French

car tu n`abandonneras pas mon âme dans le séjour des morts, et tu ne permettras pas que ton saint voie la corruption.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hawa wanaoitwa viongozi wetu hawakushuka kutoka kuzimu, lakini wanaakisi jamii yetu.

French

nos soi-disant dirigeants ne sont pas tombés de l'enfer, ils sont en fait le reflet de notre société.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mwanablogu huyu alishuhudia mwenyewe “masaa matatu ya kuzimu hapa hapa duniani”:

French

le blogueur l’a lui-même connu « trois heures de l'enfer sur terre » :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kisha kifo na kuzimu vikatupwa ndani ya ziwa la moto. ziwa hili la moto ndicho kifo cha pili.

French

et la mort et le séjour des morts furent jetés dans l`étang de feu. c`est la seconde mort, l`étang de feu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kisha nikamwona malaika mmoja anashuka kutoka mbinguni akiwa na ufunguo wa kuzimu na mnyororo mkubwa mkononi mwake.

French

puis je vis descendre du ciel un ange, qui avait la clef de l`abîme et une grande chaîne dans sa main.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.

French

et personne dans le ciel, ni sur la terre, ni sous la terre, ne put ouvrir le livre ni le regarder.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

huyo tajiri, alikuwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona abrahamu kwa mbali na lazaro karibu naye.

French

dans le séjour des morts, il leva les yeux; et, tandis qu`il était en proie aux tourments, il vit de loin abraham, et lazare dans son sein.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

bahari ikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yake; kifo na kuzimu vikawatoa nje wafu waliokuwa ndani yao. kila mmoja akahukumiwa kufuatana na matendo yake.

French

la mer rendit les morts qui étaient en elle, la mort et le séjour des morts rendirent les morts qui étaient en eux; et chacun fut jugé selon ses oeuvres.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

daudi aliona kabla mambo yatakayofanywa na mungu na hivyo akasema juu ya ufufuo wa kristo wakati aliposema: hakuachwa kuzimu, mwili wake haukuoza.

French

c`est la résurrection du christ qu`il a prévue et annoncée, en disant qu`il ne serait pas abandonné dans le séjour des morts et que sa chair ne verrait pas la corruption.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

tena wanaye mfalme anayewatawala, naye ndiye malaika wa kuzimu; jina lake kwa kiebrania ni abadoni, na kwa kigiriki ni apolioni, yaani mwangamizi.

French

elles avaient sur elles comme roi l`ange de l`abîme, nommé en hébreu abaddon, et en grec apollyon.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

malaika akalitupa kuzimu, akaufunga mlango wa kuingilia huko na kuutia mhuri ili lisiweze tena kuyapotosha mataifa mpaka hapo miaka elfu moja itakapotimia. lakini baada ya miaka hiyo ni lazima lifunguliwe tena, lakini kwa muda mfupi tu.

French

il le jeta dans l`abîme, ferma et scella l`entrée au-dessus de lui, afin qu`il ne séduisît plus les nations, jusqu`à ce que les mille ans fussent accomplis. après cela, il faut qu`il soit délié pour un peu de temps.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na wewe kafarnaumu, je, utajikweza mpaka mbinguni? utaporomoshwa mpaka kuzimu! maana, kama miujiza iliyofanyika kwako ingalifanyika kule sodoma, mji huo ungalikuwako mpaka hivi leo.

French

et toi, capernaüm, seras-tu élevée jusqu`au ciel? non. tu seras abaissée jusqu`au séjour des morts; car, si les miracles qui ont été faits au milieu de toi avaient été faits dans sodome, elle subsisterait encore aujourd`hui.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kwa hiyo, karibu katika shimo la kuzimu la tamaduni mbalimbali kuishi pamoja, utofauti wa makabila na uhamiaji ambapo wahamiaji (katika shauri hili inawezekana kabisa wakawa waislamu) wanawashambulia wahamiaji wengine na waaustralia ndio wanaolaumiwa.

French

alors, bienvenue dans l'enfer d'immigration de division multiculturelle et de diversité ethnique où des immigrants (dans cette affaire probablement musulmans) attaquent d'autres immigrants et ce sont les australiens qui sont accusés. dave

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,877,158,616 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK