Results for mahusiano ya mapenzi translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

mahusiano ya mapenzi

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

hadithi ya mapenzi kibera

French

une histoire d’amour née à kibera

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

barua a french ya mapenzi

French

barua a francais avec mapenzi

Last Update: 2023-02-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

au hata kujua maana ya “mapenzi ya kweli”.

French

ou même ne connaissent pas la signification de "véritable amour". .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

bila shaka, hii ni hadithi ya mapenzi isiyo na kifani mwaka huu!!!

French

c’est l’histoire d’amour de l’année !!!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kazi iliyokuwa ikifanywa na idara ya mahusiano ya umma ya serikali ya zambia haikupita hivi hivi.

French

la curieuse manière de gérer les relations publiques du gouvernement zambien ne sont pas passées inaperçues dans les médias sociaux.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tunaanzisha mijadala ya kihabari inayojenga madaraja, uelewa wa masuala ya kidunia na mahusiano ya kirafiki.

French

nous définissons un programme d'actualités dont l'ambition est de lancer des ponts, au service de la compréhension globale et de l'amitié par-delà les frontières.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mahusiano ya kidiplomasia na afrika kusini yamekuwa mabaya kufuatia mauaji ya kisiasa ya wapinzani waliokuwa nchini humo.

French

les relations diplomatiques sont tendues avec l'afrique du sud, suite aux assassinats d'opposants dans ce pays.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na sisi tuko thabiti mbele ya mungu kwani tuna hakika kwamba tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, yeye hutusikiliza.

French

nous avons auprès de lui cette assurance, que si nous demandons quelque chose selon sa volonté, il nous écoute.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni jambo lisilokubalikaa kwa serikali kuitumia wizara ya mahusiano ya kimataifa kutoa pasipoti za kidiplomasia kwa kanisa liitwalo world church.

French

il est inacceptable que le gouvernement ait utilisé itamaraty pour fournir un passeport diplomatique au pasteur représentant l'eglise mondiale.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kinachofanywa na wizara ya mahusiano ya kimataifa ni kudhalilisha taasisi ambazo awali zilionekana kama zenye heshima na zenye umakini katika utendaji wake.

French

ce qu'ils font avec le ministère des affaires etrangères et itamaraty est démoralisant, ces institutions étaient jusque là considérées comme respectables et sérieuses.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mashirika haya hayajawahi kuwa na wataalamu wanaoendesha bodi husika bali yamejaa wafanyakazi kwa misingi ya mahusiano ya undugu, ubinamu, upwa na ujukuu na wanasiasa

French

elles n'ont pas eu des professionnels dans les conseils d'administration, mais des parents, neveux, nièces et arrière-petits-fils des hommes politiques.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

rais mills alimshukuru rais rawlings kwa kuiwakilisha ghana katika kuapishwa na alimuhakikishia kuwa kutakuwa na hatua za kufuatilia kuzitumia fursa za mahusiano ya faida kwa pande zote kati ya ghana na afrika kusini.

French

le président mills a remercié le président rawlings d'avoir représenté le ghana à l'investiture et l'a assuré qu'un suivi serait mis en place pour profiter des opportunités de développement de relations mutuellement avantageuses entre le ghana et l'afrique du sud.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wananchi wa uganda sasa hawana hakika nini kitatokea kuhusiana na diplomasia ya mahusiano ya nchi hiyo na nyingine, hususani magharibi, zinazoamini sheria hiyo inavunja haki za msingi za binadamu.

French

les ougandais s'interrogent maintenant des relations de leur pays avec les'autres, principalement de l'occident, qui estiment que la loi viole les droits humains fondamentaux.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jawabu liko kwenye umuhimu wa ujamaa, bila kuuelewa sisi ni wa kushindwa: ujamaa ni msingi wa upendo, mahusiano ya kindugu, hisia za kuwa sehemu ya jamii.

French

la réponse réside dans l'essence du socialisme, sans la comprendre nous allons tout droit vers l'échec : l'essence du socialisme c'est l'amour, les liens fraternels, dans le sens de l'appartenance à la société.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hii ni hadithi ya kusisimua ya mapenzi kati ya sam, anayetoka kibera, makazi ya masikini kwenye jiji la nairobi, kenya, na alissa, anayetoka minnesota, marekani:

French

découvrez en photos la belle histoire d’amour entre sam de kibera, un bidonville du centre de nairobi (kenya) et alissa originaire du minnesota (États-unis) :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

gerard henderson, mkurugenzi mtendaji wa the sydney institute, anabashiri matokeo ya chini-chini katika mahusiano ya kisiasa katika kanda hii kwenye makala ya maoni ya gazeti la sydney morning herald :

French

gerard henderson, directeur exécutif du the sydney institute, spécule sur les nuances géopolitiques dans une tribune écrite pour le sydney morning herald :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika kuonyesha kuwa mada hii imo kwenye kichwa kwa rais rouhani, ameripotiwa kuyaomba mashirika mawili ya kura ya maoni "kutafiti" kile wa-irani wanachofikiri kuhusu mahusiano ya marekani na irani.

French

afin d'indiquer que le président rouhani a également le sujet en tête, il aurait demandé à deux organismes de sondage de “s'informer” sur ce que les iraniens pensent des relations entre les États-unis et l’iran.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

“sheria za jim crow” ambazo ziliwataka wamerekani weusi na weupe kuwa na huduma tofauti zilikomeshwa mwaka 1965, na sheria zilizozuia ndoa na mahusiano ya kimapenzi kati ya watu wenye rangi tofauti zilikomeshwa katika majimbo yote ya marekani mwaka 1967.

French

“les lois jim crow” qui imposaient des installations séparées pour les noirs et les blancs américains ont été abolies en 1965, et les lois anti-métissage qui interdisaient les mariages ou les relations sexuelles entre races avaient disparu de tous les etats vers 1967.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mapenzi chenga yakikupiga unasurrender na wengi wakipendwa wanasahau kuna kutendwa wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unadondoka kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka wapi mkandarasi wa moyo wa ukuta wa mapenzi unadondoka kinacho ponza wengi ni moyo wakikalia kuti kavu wanadondoka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) tena tochi ya mapenzi isinimulike nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana nimeyaona bayana ndo maana sitaki kukumbuka ya jana alivyonidanganya moyo wangu ukapiga danadana kwani nini za mapendo ila yakaniteka mapenzi tena nilimweka moyoni ila akaniona mshenzi unaweza sema pesa ndiyo breki ila mapenzi hayasomeki umemteka kwa mali na cheki kumbe vyombo anakula muuza magazeti unayemwita bebi anaweza bebwa kama beki mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji unayemwita bebi anaweza akabebwa kama beki mapenzi yanabadilika unaweza ukamwita shemeji unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka unajisifu umempata kumbe alo mwacha anamfata anachotaka anakipata wanasema hawara hana talaka naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) kwenye safari ya mapenzi mi nisiyasikee naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) naogopa(naogopa) tena tochi ya mapenzi isinimulike

French

j'ai peur

Last Update: 2022-09-17
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,794,105,833 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK