Results for matarajio translation from Swahili to French

Swahili

Translate

matarajio

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

ilizidi matarajio.

French

il a été au-dessus de toutes les attentes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

given edward ana matarajio:

French

edward given pense que:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wana matumaini, matarajio na ni wabunifu pia"

French

elle est meurtrie, contusionnée, parfois brisée, et je ne l'en aime que davantage.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mkutano mkuu wa zanu-pf uliyeyusha matarajio hayo yote.

French

le congrès du zanu-pf a mis un terme à cet espoir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

khatami hakusema kuwa tupunguze kiwango cha matarajio yetu?

French

khatami ne dit-il pas que nous devrions modérer nos attentes ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni matarajio yetu kuwa waislamu wanaoishi marekani watauendeleza utamaduni huu.

French

nous espérons que les musulmans des usa garderont la tradition vivante.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matarajio yetu ya kufanya kazi ya kila siku yatakuwa karibu saa 4 kwa siku, au saa 20 kwa wiki hadi muda usiojulikana.

French

notre objectif de temps de travail quotidien sera d’environ 4 heures par jour, soit 20 heures par semaine jusqu’à nouvel ordre.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bado naendelea kukutana na kufanya kazi na watu niliokutna nao katika jukwaa lile kamambe na nina matarajio ya kukutana na watu wengine tena wenye vipawa vya pekee katika global pulse 2010.

French

les gens que j'ai rencontrés lors de ce jam tout à fait remarquable, je reste toujours en contact et collabore avec eux, et je compte faire la connaissance d'autres personnalités extraordinaires à global pulse en 2010.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ili kuzoea ukweli wetu mpya na matarajio ya saa za kufanya kazi kila siku, tunalenga kurekebisha muda wa uwasilishaji wa mpango wetu wa kila mwaka wa 2020-2021.

French

afin de nous adapter à notre nouvelle réalité et aux objectifs de temps de travail quotidien, nous prévoyons d’ajuster l’échéancier pour la livraison de notre plan annuel 2020-2021.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haya ni masuala ambayo ikiwa papa atashindwa kuyashughulikia hata katika faragha na mapadri wake, basi ziara yake nchini kameruni, ni lazima nikubali, kwamba itakuwa imeanguka chini ya matarajio.

French

ces problèmes, si le pape manque à s'en saisir, ne serait-ce qu'en privé avec ses prêtres, feront que sa mission au cameroun restera bien en-deça des attentes, voire se réduuira à un non-événement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@calle13oficial: macho ya dunia yote yanaitazama jamhuri ya dominika, kwa matarajio kwamba haki itafanyika kwa kifo cha kijana aliyekuwa mwanafunzi wa udaktari willy warden!

French

@calle13oficial: le reste du monde a les yeux tournés vers la république dominicaine, espérant que justice sera faite concernant la mort de willy warden, jeune étudiant en médecine !

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilitaarifiwa kwamba alikuwa ametia saini makaratasi ya kuachiwa mnamo majira ya saa 6 mchana siku hiyo hata wanachama wa chama cha national league for democracy, ambacho ni chama cha suu kyi, walianza kusafisha ofisi za makao makuu ya kamati kuu huku wakiwa na matarajio ya kuachiwa kwa suu kyi.

French

elle a signé les documents nécessaires à sa libération vers midi ce jour là. les membre de la ligue nationale pour la démocratie (nld en anglais), le parti de suu kyi, ont commencé à faire un grand ménage au secrétariat du siège en préparation de sa libération.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kusababisha mshangao kote barani afrika kwa matamshi aliyoyatoa mbele ya vyombo vya habari siku moja kablda, elysée ilisema "inalaani ghasia zozote na inaunga mkono uhuru wa kujieleza. anatoa mfano wa hotuba yake aliyoitoa jijini dakar mnamo novemba 29, 2014 alizungumzia matarajio yake kwa katiba zote kuheshimiwa na zoezi la kuwasikiliza wapiga kura kufanyika katika mazingira yenye uwazi wa kutosha."

French

dans un communiqué tardif, après des propos tenus la veille qui avaient déçu toute l’afrique, l’elysée « condamne toute violence et soutient la liberté d’expression. rappelle qu’il avait souhaité, lors de son discours prononcé à dakar, le 29 novembre 2014, que les constitutions soient respectées et que les consultations électorales se tiennent dans des conditions de transparence incontestables. »

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,932,496,549 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK