Results for mtalipwa translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kwani mtalipwa isipo kuwa yale mliyo kuwa mkiyachuma?

French

etes-vous rétribués autrement qu'en rapport de ce que vous acquériez?»

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kheri yoyote mtakayo toa mtalipwa kwa ukamilifu, wala hamtadhulumiwa.

French

et tout ce que vous dépensez de vos biens dans les bonnes œuvres vous sera récompensé pleinement. et vous ne serez pas lésés.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na utauona kila umma umepiga magoti, na kila umma utaitwa kwenda soma kitabu chake: leo mtalipwa mliyo kuwa mkiyatenda.

French

et tu verras chaque communauté agenouillée. chaque communauté sera appelée vers son livre. on vous rétribuera aujourd'hui selon ce que vous œuvriez.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo mtalipwa adhabu ya fedheha kwa sababu ya mliyo kuwa mkiyasema juu ya mwenyezi mungu yasiyo ya haki, na mlivyo kuwa mkizifanyia kiburi ishara zake.

French

aujourd'hui vous allez être récompensés par le châtiment de l'humiliation pour ce que vous disiez sur allah d'autre que la vérité et parce que vous vous détourniez orgueilleusement de ses enseignements».

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,952,883,837 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK