Results for mwanga translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

mwanga

French

amour

Last Update: 2013-08-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ni nyota yenye mwanga mkali.

French

c'est l'étoile vivement brillante.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ambapo mwanga wake unatokana na mabomu.

French

ou la lumière du soleil est celle des explosions.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na tukaifanya taa yenye mwanga na joto;

French

et [y] avons placé une lampe (le soleil) très ardente,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanga wa mti wa krismasi mjini betlehemu.

French

les lumières de l'arbre de noël à bethléhem.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

uwe mwangalifu basi mwanga ulio ndani yako usije ukawa giza.

French

prends donc garde que la lumière qui est en toi ne soit ténèbres.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yeye alikuwa chanzo cha uhai na uhai huo ulikuwa mwanga wa watu.

French

en elle était la vie, et la vie était la lumière des hommes.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana matokeo ya mwanga ni wema kamili, uadilifu na ukweli.

French

car le fruit de la lumière consiste en toute sorte de bonté, de justice et de vérité.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aung zaw alimwelezea win tin kama mwanga elekezi wa harakati za demokrasia:

French

aung zaw parle de win tin comme d'un phare pour le mouvement démocratique:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami.

French

ceux qui étaient avec moi virent bien la lumière, mais ils n`entendirent pas la voix de celui qui parlait. alors je dis: que ferai-je, seigneur?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kisa cha yang huenda kikatoa mwanga kuhusu matatizo ya kijamii yanayowakabili wasomi wetu.

French

le cas de yang peut nous éclairer quelque peu sur les problèmes rencontrés par nos élites sociales en chine.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa maoni yangu, malala ni kama mwale wa mwanga na matumaini kwa nchi ya pakistani.

French

a mon avis malala est le rayon de lumière et d'espoir pour le pakistan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mabomu kila mahali hapa gaza, hakuna umeme na kuna mwanga mkali wa milipuko na mabomu...

French

bombes partout à gaza pas d'électricité est tout est éclairé par les incendies et les bombes... #gazaattaquée

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nyakati za usiku, eneo lote huchangamka kwa mwanga wa taa zinazotoka kwenye baa na mitoko ya usiku.

French

la nuit, le quartier brille des lumières des bars et des fêtes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yohane alikuwa kama taa iliyokuwa ikiwaka na kuangaza, nanyi mlikuwa tayari kufurahia mwanga huo kwa kitambo.

French

jean était la lampe qui brûle et qui luit, et vous avez voulu vous réjouir une heure à sa lumière.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanahabari wa israeli joseph dana alikuwa betlehemu kuangalia mwanga wa miti ya krismasi na alipakia mtandaoni picha ifuatayo:

French

le journaliste israélien joseph dana était à bethléhem pour voir les illuminations de l'arbre de noël et il partage cette photo :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kutokana na ukweli kuwa eneo hilo halikuwa na mwanga wa kutosha inawezekana ndio sababu iliyochangia tukio hilo la msongamano ulisababisha mkanyagano wa watu.

French

le fait que la zone n'était pas suffisamment éclairée pourrait avoir contribué à cette terrible tragédie.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanga mzuri wa mti wa krismasi mjini betlehemu, maoni @laurenbohn katika twita, wakati akiweka mtandaoni picha hii

French

magnifique illumination de l'arbre de noël à bethléhem, commente @laurenbohn sur twitter sous cette photo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nollywood, kiwanda cha filamu cha wazawa, kimetuonyesha katika mwanga mbaya zaidi kwa wote, watazamaji wa kitaifa na wale wa kimataifa.

French

nollywood, notre industrie locale du cinéma, nous a présentés sous une lumière bien pire tant au public national qu'international.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mitaa ya betlehemu inavyoangazwa kwa mwanga wa taa za krismasi, anatwiti @maathmusleh, ambaye aliweka picha hii katika mtandao wa twita

French

illumination des rues de bethléhem pour noël, twitte @maathmusleh, qui partage cette image sur twitter

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,951,618,587 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK