Results for nikamwona translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

nikamwona

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kisha nikamwona malaika mmoja anashuka kutoka mbinguni akiwa na ufunguo wa kuzimu na mnyororo mkubwa mkononi mwake.

French

puis je vis descendre du ciel un ange, qui avait la clef de l`abîme et une grande chaîne dans sa main.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikamwona mnyama mwingine anatoka ardhini. alikuwa na pembe mbili kama pembe za kondoo, na aliongea kama joka.

French

puis je vis monter de la terre une autre bête, qui avait deux cornes semblables à celles d`un agneau, et qui parlait comme un dragon.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikamwona huyo mwanamke amelewa damu ya watu wa mungu, na damu ya watu waliouawa kwa sababu ya kumtangaza yesu. nilipomwona nilishangaa mno.

French

et je vis cette femme ivre du sang des saints et du sang des témoins de jésus. et, en la voyant, je fus saisi d`un grand étonnement.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikamwona malaika mwingine akipanda juu kutoka mashariki akiwa na mhuri wa mungu aliye hai. akapaaza sauti na kuwaambia hao malaika wanne waliokabidhiwa jukumu la kuiharibu nchi na bahari,

French

et je vis un autre ange, qui montait du côté du soleil levant, et qui tenait le sceau du dieu vivant; il cria d`une voix forte aux quatre anges à qui il avait été donné de faire du mal à la terre et à la mer, et il dit:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikamwona mwanakondoo anavunja mhuri mmojawapo wa ile mihuri saba. nikasikia kimoja cha vile viumbe hai vinne kikisema kwa sauti kama ya ngurumo, "njoo!"

French

je regardai, quand l`agneau ouvrit un des sept sceaux, et j`entendis l`un des quatre êtres vivants qui disait comme d`une voix de tonnerre: viens.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha nikamwona malaika mwingine mwenye nguvu akishuka kutoka mbinguni. alikuwa amevikwa wingu, na upinde wa mvua kichwani mwake. uso wake ulikuwa kama jua, na miguu yake ilikuwa kama moto.

French

je vis un autre ange puissant, qui descendait du ciel, enveloppé d`une nuée; au-dessus de sa tête était l`arc-en-ciel, et son visage était comme le soleil, et ses pieds comme des colonnes de feu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha nikamwona malaika mmoja amesimama katika jua. akapaaza sauti na kuwaambia ndege wote waliokuwa wanaruka juu angani, "njoni! kusanyikeni pamoja kwa karamu kuu ya mungu.

French

et je vis un ange qui se tenait dans le soleil. et il cria d`une voix forte, disant à tous les oiseaux qui volaient par le milieu du ciel: venez, rassemblez-vous pour le grand festin de dieu,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha, roho akanikumba, akaniongoza mpaka jangwani. huko nikamwona mwanamke ameketi juu ya mnyama mwekundu. mnyama huyo alikuwa ameandikwa kila mahali majina ya makufuru; alikuwa na vichwa saba na pembe kumi.

French

il me transporta en esprit dans un désert. et je vis une femme assise sur une bête écarlate, pleine de noms de blasphème, ayant sept têtes et dix cornes.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,781,166,549 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK