From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
majina, simulizi
des noms, des histoires
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
syria: simulizi ya ufukweni
syrie : romance en bord de mer
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
urusi: simulizi tatu za umaskini uliokithiri
russie : trois histoires d'extrême pauvreté
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ni wahamiaji wenyewe ndio wanaoelezea simulizi zao.
et racontées à la première personne, par les immigrants eux-mêmes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kila mtu anaweza kusimulia simulizi yake kwa dunia.
chacun peut raconter ses histoires au monde.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
surprising europe: mkusanyiko huru wa simulizi za uhamiaji
surprising europe, un site ouvert pour et sur les migrants
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
simulizi la video [isiyohalisi] ya kukamatwa kwa morsi
la (fausse) vidéo de l'arrestation de morsi
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kushikiliwa kwetu gerezani kumetupa simulizi pana sana kuihusu nchi yetu.
notre détention raconte une histoire plus grande sur notre pays.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nadhani tunaweza kupanua simulizi hiyo na kuwa mwili wa kiarabu pia.
je pense qu'il y a aussi une histoire à raconter sur les corps arabes.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tovuti hii itajumuisha simulizi za changamoto katika jamii na pia mafanikio.
naviguer sur ce site permet de rencontrer des vies à la marges, et des vies réalisées.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
myanmar: simulizi za wafanyakazi wa misaada baada ya tetemeko la ardhi
myanmar (birmanie) : après le tremblement de terre, récits de sauveteurs
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
andika simulizi lako, sambaza kwa watu mtazamo huo, jadili na jenga hoja.
racontez votre histoire, partagez votre point de vue, échangez et soutenez vos idées.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
matazamia yetu katika wiki zinazofuata ni kutoa simulizi zinazowahusu mmoja baada ya mwingine.
nous tenons à raconter leurs histoires dans les semaines à venir.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kitabu cha alan shadrake “once a jolly hangman” ni simulizi inayokosesha raha.
le livre d'alan shadrake, once a jolly hangman, est une lecture difficile.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alimalizia makala yake yake kwa kuahidi kumngojea ahera ili kuendelea na simulizi zake hizi za scheherazade.
elle finit sa lettre en lui promettant de le rejoindre au paradis, où elle lui fera vivre les contes de schéhérazade.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anapo somewa aya zetu, husema: hizi ni simulizi za uwongo za watu wa zamani!
quand nos versets lui sont récités, il dit: «des contes d'anciens».
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
enrique ameshatunukiwa zawadi kadhaa za kitaifa za utungaji wa vitabu na hadi sasa ameshaandika vitabu sita vya simulizi.
enrique aranda ochoa, auteur de six romans à ce jour, a été récompensé par de nombreux prix nationaux de littérature.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nimesikia simulizi za kutisha za wanawake wakifungwa kwa mnyororo kwenye kitanda cha uzazi. ninashukuru kwa kutokukumbana na hali hiyo.
j'ai entendu parler de femmes qui avaient été enchainées à leur lit durant leur accouchement, je suis heureuse de ne pas avoir connu le même sort.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kazi hii imeishia kuwa simulizi ya kimapenzi yenye kuvutia na iliyoandaliwa vyema kwa kuwianishwa barabara na wimbo wa kimahaba ulioambatanishwa na video hii.
le résultat est une attendrissante histoire d'amour sur une musique tout aussi romantique.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mradi wa utetezi wa global voices unalenga kuendelea kuyaweka majina haya hai ikiwa ni pamoja na kutoa simulizi zinazowahusu ili kila mmoja awafahamu.
global voices advocacy souhaite braquer l'attention sur eux pour raconter leur histoire faite de courage pour que tout le monde le sache.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: