Results for tumekuwa translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

tumekuwa tukisubiri nje ya makao makuu ya polisi na hatuelewi sababu ya kuchelewa huku.

French

nous avons attendu devant la station de police et ne comprenions pas la raison de ce retard.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila wakati tumekuwa tukichukua mwilini mwetu kifo cha kristo, ili uhai wake yesu pia udhihirike katika miili yetu.

French

portant toujours avec nous dans notre corps la mort de jésus, afin que la vie de jésus soit aussi manifestée dans notre corps.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulingana na ufahamu wa baadhi ya wenzetu walio nyc, tumekuwa pia tukijadiliana kuhusu kupangisha eneo lililo brooklyn.

French

comme le savent certains de nos collègues établis à new york, nous avons également débattu l’idée de louer un local à brooklyn.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama tu jinsi ilivyo kwa mwili baridi wa dada yetu usioweza kufanya lolote, je, nasi pia tumekuwa hivyo?

French

tout comme le corps inanimé et froid de notre soeur, sommes nous aussi devenus insensibles ?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@cyrusnjoroge: vyombo vya habari vya kiraia vilipotua mjini, sote tumekuwa “wataalam”.

French

@cyrusnjoroge: quand les médias sociaux ont débarqué en ville, nous sommes tous devenus des 'experts'.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tumekuwa tukikimbia kwa muda mrefu sana, gaza ndiyo kwetu na ndiyo ngome yetu ya mwisho baada ya kupoteza makazi yetu kule panapoitwa israeli hivi sasa.

French

nous avons fui pendant si longtemps, gaza est notre dernier refuge et notre maison, après que nous ayons été déplacés de ce qui s'appelle maintenant israël.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilimchukua mwanangu kwenda kwenye mchezo usiku wa siku chache zilizopita na tumekuwa tukitaabika na kuumwa kwa vichwa tangu wakati huo, na ninashitukashituka wakati nikilala.

French

j'ai amené mon fils à un match il ya quelques jours non seulement, nous avons mal à la tête depuis, mais nous n’arrivons plus à dormir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni dhahiri kuwa wanakaa pamoja wakati wanafanya hivyo; habari zinafanana sana katika tovuti hizi mbili… tumekuwa tukiishi katika uongo.

French

il est évident qu'ils travaillent assis l'un à côté de l'autre ; leurs informations sont presque exactement les mêmes sur leurs deux sites… nous vivons un mensonge.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nafikiri mungu ametufanya sisi mitume tuwe watu wa mwisho kabisa, kama watu waliohukumiwa kuuawa, maana tumekuwa tamasha mbele ya ulimwengu wote, mbele ya malaika na watu.

French

car dieu, ce me semble, a fait de nous, apôtres, les derniers des hommes, des condamnés à mort en quelque sorte, puisque nous avons été en spectacle au monde, aux anges et aux hommes.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini sasa tumekuwa huru kutoka vifungo vya sheria, kwa sababu tumekufa kuhusu lile jambo lililotufanya sisi watumwa. sasa tunatumikia kufuatana na maisha mapya ya roho, na si kufuatana na hali ile ya kale ya sheria iliyoandikwa.

French

mais maintenant, nous avons été dégagés de la loi, étant morts à cette loi sous laquelle nous étions retenus, de sorte que nous servons dans un esprit nouveau, et non selon la lettre qui a vieilli.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama jumuia ya wanablogu na wanaharakati kutoka nchi zaidi ya 160, kila uchao tunatetea na kusihi haki ya msingi ya binadamu ya uhuru wa kujieleza, kwani tumekuwa tukiandika na kusambaza habari kutoka kwenye jamii ya watu wasioweza kusikika na wala kusikilizwa kwa urahisi kutoka ulimwenguni kote.

French

global voices, une communauté de blogueurs de plus de 160 pays, défend chaque jour le droit fondamental à la liberté d’expression et d'information en relayant des informations sur des pays ou communautés sous-représentés ou peu couverts par les médias dans le monde entier.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangu mwaka 2004 tumekuwa na mikutano inayokutanisha watu mjini london (2005), delhi (2006) na budapest (2008).

French

depuis 2004, nous nous sommes rencontrés physiquement dans la vie réelle à londres (2005), delhi (2006), et budapest (2008).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tumekuwa tukifanya kazi na azise pamoja na watu wenye msimamo uanaoshabihiana chini ya mwamvuli wa jukwaa la tembo kenya (kef) kutoa taarifa za kimkakati kwa vyombo vya nchi za afrika zenye tembo vinavyoitwa umoja wa tembo afrika (aec).

French

nous avons travaillé avec d'autres ong et des personnalités qui partagent notre position, sous les auspices du kenya elephant forum (kef), pour fournir des informations stratégiques à un groupe d'états qui sympathisent avec notre cause, l'african elephant coalition (aec).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,927,565,503 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK