From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
dunia iwatetee wanablogu raia wa vietnam waliofungwa gerezani
soutenir nguyen hoang vi, une blogueuse vietnamienne en prison nguyen hoang vi, une blogeuse vietnamienne détenue pour avoir publié des commentaires critiques sur le gouvernement
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tamko la kurekebisha sheria zinazokwaza uhuru wa vyombo vya habari nchini vietnam
une pétition pour amender la loi vietnamienne restreignant la liberté des médias
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sina vann alikuwa na umri wa miaka 13 wakati alikupoja cambodia kutoka vietnam kwa kile kilichopaswa kuwa likizo.
sina vann avait 13 ans quand elle quitta quelques temps le vietnam pour le cambodge, où elle pensait être venue pour les vacances.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tarehe 16 machi, vietnam iliomba kila mtu kuvaa baragoa wakati wanaenda maeneo hadharani ili kujilinda na wengineo.
le 16 mars, le vietnam a imposé le port du masque à tout le monde dans les lieux publics, pour que chacun se protège soi-même et protège les autres.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
rais wa korea kusini lee myung-bak ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya mwanamwali huyo kupitia balozi wa korea nchini vietnam .
par l'intermédiaire de l'ambassade sud-coréenne au vietnam, le président lee myung-bak a exprimé ses condoléances à la famille de la victime.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
serikali ya vietnam pia inahitaji kutathmini hali ya haki za binadamu katika nchi hiyo na wa-vietinamu pia wana haki ya uhuru wa maoni na kujieleza, ikiwa ni pamoja na masuala haya.
le gouvernement vietnamien devrait aussi considérer la situation des droits de l'homme dans son propre pays. les vietnamiens ont le droit à la liberté d'opinion et d'expression, y compris sur ces sujets.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama watetezi wa uhuru wa kujieleza nchini vietnam na wahanga wa ukiukwaji wa haki za binadamu kwa sababu ya harakati zetu, sisi twaona mgombea vietnam kwa baraza la haki za binadamu kama jukwaa kwa ajili ya majadiliano ya kujenga haki za binadamu katika nchi yetu.
en tant que défenseurs de la liberté d'expression au vietnam et victimes de violations des droits humains en raison de notre activisme, nous considérons que la candidature du vietnam au conseil des droits de l'homme est une plateforme pour un débat constructif sur les droits de l'homme dans notre pays.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zaidi ya wanablogu 60 wa ki-vietinam walitia saini tamko la pamoja kuitaka serikali ya vietnam kuboresha rekodi ya haki za binadamu na ahadi wanapowania uanachama katika baraza la umoja wa mataifa ya haki za binadamu:
plus de 60 blogueurs vietnamiens ont signé une déclaration commune pour demander au gouvernement vietnamien d'améliorer son bilan et son engagement en matière de droits humains, à l'heure où il pose sa candidature au conseil des droits de l'homme des nations unies :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa nyongeza, nchi hiyo ilikuwa kimbilio la wanaharakati wa kimarekani wa haki za kiraia, wanachama wa chama cha black panther kama vile pete o'neal na geronimo, pamoja na wapinzani wa vita vya vietnam.
en outre, le pays a donné refuge à des militants américains pour les droits civiques, aux membres du parti des black panthers tels que pete o'neal et geronimo pratt, ou à des opposants à la guerre du vietnam.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nguyen hoang vi, mwanablogu raia wa vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikalisuala la nguyen hoang vi, mwanablogu raia wa vietnam aliyetupwa gerezani kwa sababu ya kuandika maoni yaliyoikosoa serikali, ni mmoja ambaye suala lake limeibuliwa na makundi ya kutetea haki za watu wakati ambapo dunia inajiandaa kuadhimisha siku ya kimataifa ya kukomesha udhalimu wa watawala hapo kesho tarehe 23 novemba.
le cas de nguyen hoang vi, une blogueuse vietnamienne emprisonnée pour avoir critiqué le gouvernement est parmi les questions soulevées par les groupes de défense des droits humains alors qu'approche la journée internationale pour mettre fin à l'impunité, le 23 novembre.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: