Results for wachambuzi translation from Swahili to French

Swahili

Translate

wachambuzi

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kutimia kwa ndoto hii ndani ya muda uliopangwa kumeshindwa kuwashawishi wachambuzi wengi wa masuala ya kisiasa, kwa sababu tu changamoto zilizopo ni nyingi.

French

c'est un délai qui ne parvient pas à convaincre de nombreux commentateurs, ne serait-ce que parce que les défis sont si grands.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wachambuzi kwenye mitandao ya kijamii na waandishi wa habari wanajadiliana namna gani wanafikiri serikali inaweza kuwa na maslahi fulani kwa kuzuia miswada hii isionekane hadharani, wakati huo huo ikiharakisha mchakato.

French

les intervenants sur les médias sociaux et les journalistes livrent des opinions sur les raisons qui poussent le gouvernement tanzanien à garder ces projets de loi loin du public, alors que dans le même temps il accélère la procédure pour son approbation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

clement nyirenda pia anatoa maoni kuhusu jinsi ambavyo wachambuzi wa mambo walivyokosea kutabiri, na anadhani kuwa upigaji kura uliompa ushindi rais aliye madarakani ulikuwa ni wa kihistoria:

French

clement nyirenda a aussi souligné les erreurs des prévisions:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mmoja wa wachambuzi wa mambo amabye alitabiri ushindi wa mcp/udf na mgombea wake john tembo, boniface dulani anakiri wakati kura zilipokuwa bado zinahesabiwa wakati ilipodhihirika kwamba bingu wa mutharika anageuza yale yaliyokuwa yakitarajiwa: lazima nikiri kuwa sikutegemea ushindi unaoanza kudhihirika kutokana na matokeo ya upigaji kura ambayo yanatangazwa hivi sasa.

French

comme l'un des analystes qui avaient prévu une bonne performance de m. john tembo, candidat de l'alliance du mcp et de l'udf, boniface dulani a confessé pendant que le décompte des voix était en cours, lorsqu'il a paru évident que m. bingu wa mutharika, était en train de déjouer les prédictions: "je dois confesser que je ne m'attendais pas à une marge de victoire large comme celle qui semble émerger des résultats qui sont en train d'etre annoncés.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,913,917,706 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK