Results for walioandikishwa translation from Swahili to French

Swahili

Translate

walioandikishwa

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

msemaji wa tume ya muda ya uchaguzi, frantz bernadin, aliwaambia wanahabari siku ya ijumaa kwa kuwa baraza ndio mahakama ya mwisho ya rufaa, uamuzi wake kuhusu wagombea walioandikishwa hauwezi kukatiwa rufaa.

French

le porte-parole de l’institution électorale, frantz bernadin, a cependant fait savoir vendredi à des journalistes que le cep, étant le contentieux électoral par excellence, sa décision concernant les candidats admis est sans appel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chama cha rdp na vyama vingine vya upinzani viliitisha mkutano na waandishi wa habari mchana wa jumamosi vikidai uwepo wa mlolongo wa kasoro zikijumuisha wino usifutika ambao haukufanya kazi, karatasi za kupigia kura ambazo hazikuwa na muhuri rasmi, na daftari la wapiga kura linalobadilika kila wakati (ambalo lina toleo jipya lenye tarakimu tofauti ya idadi ya wapigakura walioandikishwa).

French

le rdp et plusieurs autres partis d'opposition ont tenu une conférence de presse samedi après-midi pour dénoncer une série d'irrégularités parmi lesquelles : l'encre indélébile qui ne l'était pas, des bulletins de vote sans le cachet officiel et les mises à jour continuelles de la liste des électeurs (dont il y a une nouvelle version qui donne un chiffre différent du nombre d'électeurs enregistrés).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,728,498 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK