Results for walizungumzia translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

walizungumzia

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

wanablogu wengi, hata hivyo, walizungumzia zaidi kuhusu vladimir putin.

French

mais c'est au parallèle transparent avec vladimir poutine que se sont attachés la plupart des blogueurs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watumiaji wengi wa mtandao walizungumzia utoaji wa mimba wakihusisha na kanuni na taratibu za kimaadili.

French

de nombreux internautes abordent les aspects moraux et éthiques de l'avortement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama kawaida, wananchi wa kiirani walizungumzia tukio hili la leo wakitaka dunia ijifunze kuhusu tukio hilo.

French

les blogueurs iraniens ont comme à leur habitude couvert le déroulement de cette journée pour en informer le monde.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi walizungumzia matatizo ya ubakaji nchini india wakati wengine waliyatazama matukio yanayoibukia katika maeneo mengine ya asia kusini.

French

les uns évoquaient les problèmes de viols en inde, tandis que les autres constataient que les cas de viols ne cessent d'augmenter dans le sud de l'asie.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakazi walionusurika, waliokuwa wanakagua nyumba zao kwa ajili ya ukarabati, walizungumzia namna walivyopanda kutoka paa hadi paa kutafuta eneo lililoinuka zaidi.

French

les habitants qui ont survécu à la catastrophe et surveillaient la réparation de leurs maisons nous ont raconté comment ils sont passés de toit en toit à la recherche d’endroits toujours plus élevés.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitihada za pamoja, wanablogu, watangazaji wa mtandao na wengine walizungumzia masuala ya kidunia -na namna nzuri ya kuzungumzia haki za binadamu kuliko kutumia maneno yaliyozoeleka: "yeyote ana haki ya uhuru wa maoni na kujieleza" (tamko la haki za binadamu, ibara ya 20).

French

dans un effort commun, les blogueurs, podcasters et autres mettront l'accent sur cette importante question mondiale et quelle meilleure façon de mettre en avant les droits de l'homme que d'en utiliser un : "tout individu a droit à la liberté d'opinion et d'expression" (déclaration universelle des droits de l'homme, article 19).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,792,272,502 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK