Results for wamekusanyika translation from Swahili to French

Swahili

Translate

wamekusanyika

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

inakadiriwa kuwa zaidi ya watu 500,000 wamekusanyika huko shahbag.

French

selon certaines estimations, près de 500 000 personnes sont réunies à shahbag.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ya pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika pamoja.

French

le jour de la pentecôte, ils étaient tous ensemble dans le même lieu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani.

French

toute la multitude du peuple était dehors en prière, à l`heure du parfum.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

petro aliendelea kuongea na kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.

French

et conversant avec lui, il entra, et trouva beaucoup de personnes réunies.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu wa waandamanaji wanawake waliokamatwa wakiwa wamekusanyika mbele ya gereza lililotaarifiwa kuwa ndiko walikokuwa wameshikiliwa.

French

les parents des manifestantes arrêtées se réunissent devant la prison où elles sont supposées être détenues.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mamia ya watu wakiwa wamekusanyika nje ya hospitali ya shaukat khanum, hospitali aliyokuwa anapatiwa matibabu imran khan.

French

des centaines de personnes se sont rassemblées devant l'hôpital shaukat khanum où est soigné imran khan.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipotambua hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa maria mama yake yohane aitwaye marko. humo watu wengi walikuwa wamekusanyika wakisali.

French

après avoir réfléchi, il se dirigea vers la maison de marie, mère de jean, surnommé marc, où beaucoup de personnes étaient réunies et priaient.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

israel yoroba jijini abidjan anaripoti kuhusu msongamano huo wa kutisha wakati watu wengi wakiwa wamekusanyika kusubiri kushuhudia milipuko ya fataki kuashirika mwaka mpya katika wilaya ya plateau.

French

israel yoroba à abidjan donne des informations sur la bousculade survenue alors que la foule s'était rassemblée pour regarder les feux d'artifice célébrant la nouvelle année.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati watu kwa maelfu walipokuwa wamekusanyika hata wakawa wanakanyagana, yesu aliwaambia kwanza wanafunzi wake, "jihadharini na chachu ya mafarisayo, yaani unafiki.

French

sur ces entrefaites, les gens s`étant rassemblés par milliers, au point de se fouler les uns les autres, jésus se mit à dire à ses disciples: avant tout, gardez-vous du levain des pharisiens, qui est l`hypocrisie.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini ninyi mmefika katika mlima wa sioni, kwenye mji wa mungu aliye hai. mmefika yerusalemu, mji wa mbinguni, ambapo wamekusanyika malaika elfu nyingi wasiohesabika.

French

mais vous vous êtes approchés de la montagne de sion, de la cité du dieu vivant, la jérusalem céleste, des myriades qui forment le choeur des anges,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnamo saa 5:44 usiku, ndugu wa waandamanaji wanawake waliokamatwa wakiwa wamekusanyika mbele ya gereza lililotaarifiwa kuwa ndiko walikokuwa wameshikiliwa, mjukuu wa kike wa al-roushodi, fatima al-mesned alitwiti:

French

a 23h44, les parents des manifestantes arrêtées se sont réunis devant la prison où elles étaient supposées être détenues. fatima al-mesned, la petite-fille de al-roushodi twittait :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,115,579 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK