Results for wanyenyekevu translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

wanyenyekevu

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

ambao ni wanyenyekevu katika sala zao,

French

ceux qui sont humbles dans leur salât,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jisalimishieni kwake tu, na wabashirie wanyenyekevu,

French

soumettez-vous donc à lui. et fais bonne annonce à ceux qui s'humilient,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.

French

que la femme écoute l`instruction en silence, avec une entière soumission.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na pia ndege walio kusanywa makundi kwa makundi; wote walikuwa wanyenyekevu kwake.

French

de même que les oiseaux assemblés en masse, tous ne faisant qu'obéir à lui [allah].

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na tafuteni msaada kwa kusubiri na kwa kusali; na kwa hakika jambo hilo ni gumu isipokuwa kwa wanyenyekevu,

French

et cherchez secours dans l'endurance et la salât: certes, la salât est une lourde obligation, sauf pour les humbles,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwisho nasema hivi: mnapaswa kuwa na moyo mmoja, na fikira moja; mnapaswa kupendana kidugu, kuwa wapole na wanyenyekevu ninyi kwa ninyi.

French

enfin, soyez tous animés des mêmes pensées et des mêmes sentiments, pleins d`amour fraternel, de compassion, d`humilité.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ibrahim akawausia wanawe, na pia yaaqub: enyi wanangu! hakika mwenyezi mungu amekuteulieni dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa waislamu, wanyenyekevu.

French

et c'est ce qu'abraham recommanda à ses fils, de même que jacob: «o mes fils, certes allah vous a choisi la religion: ne mourrez point, donc, autrement qu'en soumis!» (à allah).

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

atakaye iacha miongoni mwenu dini yake, basi mwenyezi mungu atakuja leta watu anao wapenda nao wanampenda, wanyenyekevu kwa waumini na wenye nguvu juu ya makafiri, wanapigania jihadi katika njia ya mwenyezi mungu, wala hawaogopi lawama ya anaye laumu.

French

quiconque parmi vous apostasie de sa religion... allah va faire venir un peuple qu'il aime et qui l'aime, modeste envers les croyants et fier et puissant envers les mécréants, qui lutte dans le sentier d'allah, ne craignant le blâme d'aucun blâmeur.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika waislamu wanaume na waislamu wanawake, na waumini wanaume na waumini wanawake, na wat'iifu wanaume na wat'iifu wanawake, na wasemao kweli wanaume na wanawake, na wanao subiri wanaume na wanawake, na wanyenyekevu wanaume na wanawake, na watoao sadaka wanaume na wanawake, na wanao funga wanaume na wanawake, na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake, na wanao mdhukuru mwenyezi mungu kwa wingi wanaume na wanawake, mwenyezi mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa.

French

les musulmans et musulmanes, croyants et croyantes, obéissants et obéissantes, loyaux et loyales, endurants et endurantes, craignants et craignantes, donneurs et donneuses d'aumône, jeûnants et jeûnantes, gardiens de leur chasteté et gardiennes, invocateurs souvent d'allah et invocatrices: allah a préparé pour eux un pardon et une énorme récompense.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,793,211,705 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK