Results for wewe ni nani kwenye simu na nani translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

wewe ni nani kwenye simu na nani

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

sa wewe ni nani

French

qui est comme toi

Last Update: 2023-08-02
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

karibuni mtajua ni nani itakaye mfikia adhabu ya kumhizi, na nani aliye mwongo.

French

bientôt, vous saurez sur qui tombera un châtiment qui le déshonorera, et qui de nous est l'imposteur.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wakamwuliza, "wewe ni nani?" yesu akawajibu, "nimewaambieni tangu mwanzo!

French

qui es-tu? lui dirent-ils. jésus leur répondit: ce que je vous dis dès le commencement.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mungu peke yake ndiye mwenye kuweka sheria na kuhukumu. ni yeye peke yake anayeweza kuokoa na kuangamiza. basi, wewe ni nani hata umhukumu binadamu mwenzako?

French

un seul est législateur et juge, c`est celui qui peut sauver et perdre; mais toi, qui es-tu, qui juges le prochain?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao wakamwuliza, "basi, wewe ni nani? wasema nini juu yako mwenyewe? tuambie, ili tuwapelekee jibu wale waliotutuma."

French

ils lui dirent alors: qui es-tu? afin que nous donnions une réponse à ceux qui nous ont envoyés. que dis-tu de toi-même?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wewe ni nani hata uthubutu kumhukumu mtumishi wa mwingine? akisimama au akianguka ni shauri la bwana wake; naam, atasimama imara, maana bwana anaweza kumsimamisha.

French

qui es-tu, toi qui juges un serviteur d`autrui? s`il se tient debout, ou s`il tombe, cela regarde son maître. mais il se tiendra debout, car le seigneur a le pouvoir de l`affermir.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, rafiki, kama unawahukumu wengine, huwezi kamwe kujitetea haidhuru wewe ni nani. kwa maana, kwa kuwahukumu wengine, unajilaani wewe mwenyewe kwa vile nawe unayafanya mambo yaleyale unayohukumu.

French

o homme, qui que tu sois, toi qui juges, tu es donc inexcusable; car, en jugeant les autres, tu te condamnes toi-même, puisque toi qui juges, tu fais les mêmes choses.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akawaambia, "njoni mkafungue kinywa." hakuna hata mmoja wao aliyethubutu kumwuliza: "wewe ni nani?" maana walijua alikuwa bwana.

French

jésus leur dit: venez, mangez. et aucun des disciples n`osait lui demander: qui es-tu? sachant que c`était le seigneur.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hapo wakamwuliza, "basi, wewe ni nani? je, wewe ni eliya?" yohane akajibu, "la, mimi siye." wakamwuliza, "je, wewe ni yule nabii?" yohane akawajibu, "la!"

French

et ils lui demandèrent: quoi donc? es-tu Élie? et il dit: je ne le suis point. es-tu le prophète? et il répondit: non.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,794,529,222 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK