Results for aliyeketi translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

aliyeketi

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

mwanakondoo akaenda, akakitwaa hicho kitabu kutoka mkono wa kulia wa yule aliyeketi juu ya kiti cha enzi.

German

und es kam und nahm das buch aus der hand des, der auf dem stuhl saß.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila mara viumbe vinne vilipoimba nyimbo za kumtukuza, kumheshimu na kumshukuru huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, ambaye anaishi milele na milele,

German

und da die tiere gaben preis und ehre und dank dem, der da auf dem stuhl saß, der da lebt von ewigkeit zu ewigkeit,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo aliyeketi juu yake alikuwa kama almasi na jiwe zuri jekundu. upinde wa mvua ulikuwa unang'aa kama zumaridi na ulikizunguka kiti cha enzi pande zote.

German

und der dasaß, war gleich anzusehen wie der stein jaspis und sarder; und ein regenbogen war um den stuhl, gleich anzusehen wie ein smaragd.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha katika mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi, nikaona kitabu; nacho kilikuwa kimeandikwa ndani na nje na kufungwa na mihuri saba.

German

und ich sah in der rechten hand des, der auf dem stuhl saß, ein buch, beschrieben inwendig und auswendig, versiegelt mit sieben siegeln.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wale wazee ishirini na wanne hujiangusha mbele ya huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi na kumwabudu huyo ambaye anaishi milele na milele; na huziweka taji zao mbele ya kiti cha enzi wakisema:

German

fielen die vierundzwanzig Ältesten nieder vor dem, der auf dem stuhl saß, und beteten an den, der da lebt von ewigkeit zu ewigkeit, und warfen ihre kronen vor den stuhl und sprachen:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wale wazee ishirini na wanne, na vile viumbe hai vinne, wakajitupa chini, wakamwabudu mungu aliyeketi juu ya kiti cha enzi wakisema, "amina! asifiwe mungu!"

German

und die vierundzwanzig Ältesten und die vier tiere fielen nieder und beteten an gott, der auf dem stuhl saß, und sprachen: amen, halleluja!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,747,392,233 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK