Results for dhaifu translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

hakika hila za shet'ani ni dhaifu.

German

die list des satans ist schwach.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilipokuwa kwenu nilikuwa dhaifu, natetemeka kwa hofu nyingi.

German

und ich war bei euch mit schwachheit und mit furcht und mit großem zittern;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mbingu zitapasuka, kwani siku hiyo zitakuwa dhaifu kabisa.

German

und der himmel spaltete sich, denn er ist an diesem tag gebrechlich,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenyezi mungu anataka kukupunguzieni taabu, na mwanaadamu ameumbwa dhaifu.

German

allah will es euch erleichtern. und der mensch wurde als schwaches (geschöpf) geschaffen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, inueni mikono yenu inayolegea na kuimarisha magoti yenu yaliyo dhaifu.

German

darum richtet wieder auf die lässigen hände und die müden kniee

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua.

German

das schwächste haus ist ja das haus der spinne, wenn sie es doch wüßten!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mkiwakosesha ndugu zenu jinsi hiyo na kuzijeruhi dhamiri zao dhaifu, mtakuwa mmemkosea kristo.

German

wenn ihr aber also sündigt an den brüdern, und schlagt ihr schwaches gewissen, so sündigt ihr an christo.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini, jihadharini: huu uhuru wenu usiwafanye walio na imani dhaifu waanguke katika dhambi.

German

sehet aber zu, daß diese eure freiheit nicht gerate zum anstoß der schwachen!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, huyo ndugu yako dhaifu ambaye kristo alikufa kwa ajili yake, atapotea kwa sababu ya ujuzi wako.

German

und also wird über deiner erkenntnis der schwache bruder umkommen, um des willen doch christus gestorben ist.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nani mwenye msaidizi dhaifu, na mchache wa idadi.

German

dann wenn sie das sahen, was ihnen angedroht wurde, werden sie doch noch wissen, wer einen schwächeren beistehenden hat und weniger an anzahl ist.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tishio la usalama linatajwa kama sababu: mtoto ndani ya gereza ni dhaifu na atakuwa shabaha ya malengo maovu siku zote.

German

als grund wird die sicherheits-bedrohung genannt: ein kind in einem gefängnis sei ein ständiges, verletzbares ziel für leben und geiselnahme.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtajionea wenyewe kwamba kristo anasema ndani yangu. kwenu kristo si dhaifu; bali nguvu yake yafanya kazi miongoni mwenu.

German

sintemal ihr suchet, daß ihr einmal gewahr werdet des, der in mir redet, nämlich christi, welcher unter euch nicht schwach ist, sondern ist mächtig unter euch.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu huhitilafiana: mmoja imani yake inamruhusu kula kila kitu; lakini mwingine ambaye imani yake ni dhaifu, hula tu mboga za majani.

German

einer glaubt er möge allerlei essen; welcher aber schwach ist, der ißt kraut.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sheria ya mose huwateua watu waliokuwa dhaifu kuwa makuhani wakuu; lakini ahadi ya mungu aliyoifanya kwa kiapo na ambayo imefika baada ya sheria imemteua mwana ambaye amefanywa mkamilifu milele.

German

denn das gesetz macht menschen zu hohenpriestern, die da schwachheit haben; dies wort aber des eides, das nach dem gesetz gesagt ward, setzt den sohn ein, der ewig und vollkommen ist.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfano wa walio wafanya walinzi badala ya mwenyezi mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua.

German

das gleichnis derer, die sich helfer außer allah nehmen, ist wie das gleichnis von der spinne, die sich ein haus macht; und das gebrechlichste der häuser ist gewiß das haus der spinne - wenn sie es nur begriffen!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, pia walituhumiwa kwa kuchagua msimamo dhaifu kwenye kesi ya ghazi beji na jabeur mejir, ambao walipatikana na hatia na kufungwa kwa miaka saba na nusu jela mwaka jana, kwa uchapishaji wa maudhui mtandaoni yaliyoonyesha kukashifu uislamu.

German

es wurde ihnen beispielsweise ebenso vorgeworfen, im fall von ghazi beji und jabeur mejri, eine ähnlich reservierte haltung eingenommen zu haben. die beiden männer wurden aufgrund der veröffentlichung von internetinhalten, welche als beleidigung des islam gesehen wurden, zu siebeneinhalb jahren haft verurteilt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika nanyi waume, katika kuishi na wake zenu mnapaswa kutambua kwamba wao ni dhaifu na hivyo muwatendee kwa heshima; maana nao pia watapokea pamoja nanyi zawadi ya uzima anayowapeni mungu. hapo ndipo sala zenu hazitakataliwa.

German

desgleichen, ihr männer, wohnet bei ihnen mit vernunft und gebet dem weiblichen als dem schwächeren werkzeuge seine ehre, als die auch miterben sind der gnade des lebens, auf daß eure gebete nicht verhindert werden.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sema: walio katika upotofu basi arrahmani mwingi wa rahema atawapururia muda mpaka wayaone waliyo onywa - ama ni adhabu au ni saa. hapo ndipo watapo jua ni nani mwenye makao mabaya na mwenye askari dhaifu.

German

sag also: "wer sich im irrtum befindet, dem soll der allgnade erweisende noch mehr davon gewähren!" wenn sie dann sehen, was ihnen angedroht wurde: entweder die peinigung oder die stunde, dann werden sie wissen, wer über die schlimmere stellung und die schwächere streitmacht verfügt.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mtu anaweza kusema: "barua za paulo ni kali na zenye maneno mazito, lakini yeye mwenyewe anapokuwa pamoja nasi ni mtu dhaifu, na hata anapoongea maneno yake ni kama si kitu."

German

denn die briefe, sprechen sie, sind schwer und stark; aber die gegenwart des leibes ist schwach und die rede verächtlich.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,906,637,175 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK