Results for hatari translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

hatari

German

gefährlich

Last Update: 2024-11-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni vita hatari

German

ein fataler krieg.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatuwezi kuwa kimya katika mazingira hatari anayokabiliana nayo ndugu yetu.

German

wir können angesichts dieser bedrohung für unseren freund nicht schweigen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali ya hatari kwa watoto nchini syria: namna utakavyo saidia.

German

krise der kinder in syrien: wie du helfen kannst

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi wote tulipumbazwa na tangazo kwamba amina aliachiliwa kwa mashitaka ya kumimiliki kifaa hatari.

German

wir wurden alle getäuscht durch die ankündigung von aminas freilassung, nachdem sie für den besitz eines entflammbaren objekts eingesperrt worden war.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

miongo ya vita na ugaidi vimeiweka afghanistan katika kundi la nchi hatari zaidi kuishi duniani.

German

jahrzehnte des kriegs und terrorismus haben afghanistan zu einem der gefährlichsten länder gemacht.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatua hiyo ina hatari inayoweza kujumuisha kubainisha, hususani, undani wa gharama za hatua hizo.

German

dies ist jedoch unter umständen ein mühsamer schritt, der vor allem das aufdecken der kosten dieser maßnahmen beinhaltet hätte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatari ya sera hii mpya, kama ilivyo, ni uwezekano wake wa kuathiri lugha za asili za malawi.

German

die gefahr der neuen richtlinie, so wie die dinge stehen, besteht in dem schaden, den sie möglicherweise den malawischen sprachen zufügt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

askari wa doria waliowarudisha wahamiaji nchini libya waliivunja kanuni inayopiga marufuku kitendo cha kuwarudisha wakimbizi kwenye hatari.

German

italien wurde auch mehrmals für seine nicht mit den europäischen verträgen konforme anti-immigrations-politik verurteilt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, pamoja na juhudi zote hizi, sehemu ya kusini magharibi mwa niger bado ni sehemu hatari na iliyotengwa.

German

trotz einiger versuche bliebt der südwesten des nigers isoliert und verwundbar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, thailand ilikuwa ya kwanza kufungatovuti 100,000 fkutokana na kuwa na mambo “hatari”.

German

zum beispiel ist thailand das erste land der welt, das 100.000 seiten wegen "gefährlicher" inhalte abschaltete.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alikuwa akikimbia hatari ya kupoteza maisha yake, na ufumbuzi pekee aliokuwa nao ulikuwa ni kuondoka haraka angola, na kurudi nchini mwake.

German

ihr leben war gefährdet und die einzige lösung dafür war, angola sofort zu verlassen und zurückzukehren in ihr land.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika nchi nyingi duniani kote, sheria mpya zimeendelea kuundwa kwa malengo ya kudhibiti mtandao, wakati huo huo wanablogu wakizidi kuwa katika hatari kwa kupaza sauti zao.

German

in vielen ländern auf der ganzen welt werden neue gesetze geschaffen, um das internet zu zensieren, während blogger zunehmend risiken in kauf nehmen , wenn sie ihre meinung vertreten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mamlaka ya jiji la lanzhou imetoa angalizo kwa raia wake la kutokutumia maji ya bomba kutokana na maji hayo kugundulika kuchanganyikana na kemikali hatari, hali iliyopelekea maji ya viwandani kugombaniwa katika maduka mbali mbali ya jiji.

German

lokale behörden haben die einwohner von lanzhou davor gewarnt, leitungswasser zu trinken, da dies stark verschmutzt sei, was zu hamsterkäufen von abgefülltem wasser in den supermärkten der stadt führte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nadhani wakati sahihi kwa watoto nchini marekani kujifunza kuhusu hatari ya virusi vya ukimwi ni wanapokuwa wakubwa, kadri ya miaka kumi ama kumi na moja au wakati mwanafunzi anapoanza kujihusisha na vitendo vya mapenzi kimwili”

German

ich denke, dass es für kinder in amerika angemessener ist, über die bedeutung von hiv zu lernen, wenn sie etwas älter sind, etwa zehn oder elf jahre alt oder wenn schüler sexuell aktiv werden.“

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa upande wake, mohamed ould rabani, katibu mkuu wa baraza hru la walimu wa shule za sekondari, waliuponda uhamisho huo kama hatua ya hatari katika historia ya mauratania na kuwaomba wenzake kutokutii amri ya wizara.

German

seinerseits kritisierte der generalsekretär des unabhängigen verbandes von lehrern weiterführender schulen mohamed ould rabani die versetzung als einen gefährlichen präzedenzfall in der geschichte mauretaniens und bat seine kollegen, sich den beschlüssen des ministeriums nicht unterzuordnen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“hakuna hatari yoyote kwa maisha yake wala mtoto, kwa hiyo hatuwezi kumlazimisha kutoa ujauzito huo," mkurugenzi wa inau, monica silva, alisema.

German

“es besteht kein risiko für das leben des kindes. deshalb können wir sie nicht zwingen, die schwangerschaft abzubrechen", sagte die direktorin des inau , monica silva.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

majina ya wanablogu hawa pamoja na wengine walio katika hatari hii yalionekana kwenye listi ya watu 84 iliyowasilishwa kwenye kamati maalum ya serikali na kikundi cha viongozi wa kiislam kilichowatuhumu wanablogu hawa kwa kujihusisha na "upagani" pamoja na kuandika mambo yanayopingana na uislam.

German

die namen dieser blogger und anderer stehen auf einer liste von 84 personen, die einem sonderausschuss der regierung durch eine gruppe konservativ muslimischer geistlicher überreicht wurde, die den bloggern "atheismus" vorwerfen sowie schriften gegen den islam zu verfassen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa mukhtadha huu, shule zina wajibu wa hatari, kama ilivyokuwa (na bado ndivyo ilivyo) moja ya milango mikubwa ya kuingilia "si tu kwenye ajira katika sekta ya kisasa, lakini pia kwenda kwenye nafsi mbalimbali kwenye vyombo vya serikali na madaraka ya kisiasa, hali inayoakisi mageuzi ya jamii za bara la ulaya".

German

dabei spielt die schule eine so bedeutende rolle, da sie (schon immer) ein wichtiger zugang "nicht nur zu jobs im modernen sektor ist, sondern auch zu positionen im staatsapparat und der politischen führung".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,927,587,861 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK