Results for kidole translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

kidole cha kati

German

mittelfinger

Last Update: 2013-04-07
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kidole cha shahada

German

zeigen

Last Update: 2012-09-23
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hufunga mizigo mizito na kuwatwika watu mabegani, lakini wao wenyewe hawataki kunyosha hata kidole wapate kuibeba.

German

sie binden aber schwere und unerträgliche bürden und legen sie den menschen auf den hals; aber sie selbst wollen dieselben nicht mit einem finger regen.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

walisema hivyo kumjaribu, wapate kisa cha kumshtaki. lakini yesu akainama chini, akaandika ardhini kwa kidole.

German

das sprachen sie aber, ihn zu versuchen, auf daß sie eine sache wider ihn hätten. aber jesus bückte sich nieder und schrieb mit dem finger auf die erde. {} {}

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

“anawaonyesha watoto kwamba ni sawa kumkumbatia mtu mwenye virusi vya ukimwi, na anaeleza nini cha kufanya anapokuwa na kidonda kwenye kidole chake au kama umejikata mwenyewe.

German

„sie zeigt kindern, dass es in ordnung ist, jemanden, der hiv-positiv ist, zu umarmen und sie erklärt, was zu tun ist, wenn sie sich in den finger geschnitten hat oder wenn man sich selbst geschnitten hat.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu akamjibu, "na ninyi walimu wa sheria, ole wenu; maana mnawatwika watu mizigo isiyochukulika, huku ninyi wenyewe hamnyoshi hata kidole kuwasaidia.

German

er aber sprach: und weh auch euch schriftgelehrten! denn ihr beladet die menschen mit unerträglichen lasten, und ihr rührt sie nicht mit einem finger an.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha akamwambia thoma, "lete kidole chako hapa uitazame mikono yangu; lete mkono wako ukautie ubavuni mwangu. usiwe na mashaka, ila amini!"

German

darnach spricht er zu thomas: reiche deinen finger her und siehe meine hände, und reiche dein hand her und lege sie in meine seite, und sei nicht ungläubig, sondern gläubig!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, wale wanafunzi wengine wakamwambia, "tumemwona bwana." thoma akawaambia, "nisipoona mikononi mwake alama za misumari, na kutia kidole changu katika kovu hizo, na kutia mkono wangu ubavuni mwake, sitasadiki."

German

da sagten die andern jünger zu ihm: wir haben den herrn gesehen. er aber sprach zu ihnen: es sei denn, daß ich in seinen händen sehe die nägelmale und lege meinen finger in die nägelmale und lege meine hand in seine seite, will ich's nicht glauben.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,934,081,433 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK