From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
je, itasababisha taasisi za kisheria kuchukua hatua?
wird es gesetzgebende stellen zum handeln bewegen?
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hiyo hatuna mamlaka au mamlaka ya kisheria kufikiria mara mbili juu ya hili.
angola: mit ebola um die ecke sind die grenzen geschlossen
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hatua za kisheria zitachukuliwa ama kutozwa faini iwapo mtu yeyote atapatikana na hizo bidhaa bila ya kibali ama idhini.
wer solche waren nicht anmeldet, macht sich strafbar.
Last Update: 2014-02-06
Usage Frequency: 1
Quality:
wale wanaotenda dhambi bila kuijua sheria ya mose wataangamia ingawaje hawajui sheria. na wale wanaotenda dhambi wakiwa wanaijua sheria watahukumiwa kisheria.
welche ohne gesetz gesündigt haben, die werden auch ohne gesetz verloren werden; und welche unter dem gesetz gesündigt haben, die werden durchs gesetz verurteilt werden
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
blogu hii ina habari zaidi za hivi karibuni kuhusu jitihada za utetezi, ripoti za vyombo vya habari, na hadhi ya kisheria ya wanablogu wa zone9 nchini ethiopia.
der blog beinhaltet aktuellste informationen zu den bemühungen, die interessen der blogger von zone9 zu vertreten, pressebeiträge und den derzeitigen rechtlichen stand. er widmet sich der berichterstattung über den prozesss, der den unschuldigen bloggern und journalisten gemacht wird. wir glauben an die kraft einer korrekter und faktenbasierten berichterstattung der situation der blogger vor ort.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tunawalaani waliofanya mauaji ya ananta bijoy das, ahmed rajib haider, washiqur rahman na avijit roy na pia tunazitaka mamlaka husika kuwachchukulia hatua za kisheria wale wote waliohusika kutimiza mauaji hayo.
wir verurteilen die ermordungen der blogger ananta bijoy das, ahmed rajib haider, washiqur rahman und avijit roy und fordern von den verantwortlichen behörden, sicherzustellen, dass diejenigen, die für die ermordungen verantwortlich sind, vor gericht kommen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
amekuwa kizuizini tangu novemba 28, baada ya kutuhumiwa kuandaa maandamano mbele ya baraza la shura (bunge kuu nchini misri) bila kupata ruhusa kisheria.
er ist seit dem 28. november inhaftiert, nachdem ihm vorgeworfen wurde, eine demonstration vor dem schura-rat (dem oberhaus des ägyptischen parlaments) ohne genehmigung organisiert zu haben.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa kuwa wanaharakati wengi na raia wa kawaida wameongeza sana utumiaji wa intaneti ili kutoa maoni yao na kuwasiliana na wengine, serikali nyingi pia zimeongeza ufuatiliaji wa kichunguzi, kujipenyeza, uchukuaji wa hatua za kisheria na unyanyasaji.
so wie viele aktivisten und normale bürger in zunehmendem maße das internet dazu benutzen, ihre meinungen auszudrücken und mit gleichgesinnten in verbindung zu treten, so haben viele regierungen deshalb ihre Überwachung, filter, legales vorgehen und belästigungen erhöht.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
yeye aliingia ndani ya nyumba ya mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya mungu, akala na kuwapa wenzake. kisheria, ni makuhani tu peke yao ndio walioruhusiwa kula mikate hiyo."
wie er zum hause gottes einging und nahm die schaubrote und aß und gab auch denen, die mit ihm waren; die doch niemand durfte essen als die priester allein?
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
hivyo mwanamke huyo akiishi na mwanamume mwingine wakati mumewe yungali hai, ataitwa mzinzi; lakini mumewe akifa, mwanamke huyo yu huru kisheria, na akiolewa na mwanamume mwingine, yeye si mzinzi.
wo sie nun eines andern mannes wird, solange der mann lebt, wird sie eine ehebrecherin geheißen; so aber der mann stirbt, ist sie frei vom gesetz, daß sie nicht eine ehebrecherin ist, wo sie eines andern mannes wird.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mnamo septemba 3, 2015, kampuni isiyo ya kibiashara ya kutoa huduma za intaneti (isps) french data network (fdn) na shirikisho la fdn (ffdn) pamoja na makundi ya utetezi wa haki za kidijitali la quadrature du net walitangaza kuwasilishwa kwa mapingamizi mawili ya kisheria kwenye baraza la ufaransa linaloshughulikia masuala ya nchi kupinga vitendo vya udukuzi wa mawasiliano ya intaneti vinavyofanywa na mashirika ya ujasusi wa kimataifa ya ufaransa, kama vile kurugenzi kuu ya usalama wa nje (dgse).
am 3. september 2015 verkündeten die gemeinnützigen internetanbieter (englisch 'internet service providers', kurz 'isps') french data network (fdn) und fdn federation (ffdn) sowie die interessenvertetung digitaler rechte, la quadrature du net, die erhebung zweier anfechtungsklagen im französischen staatsrat, gegen die Überwachungsaktivitäten des französischen auslandsgeheimdiensts, der generaldirektion für äußere sicherheit (dgse).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: