Results for kukua translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

kukua

German

größer werden

Last Update: 2021-04-11
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

neno la mungu likazidi kuenea na kukua.

German

das wort gottes aber wuchs und mehrte sich.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hakuna shaka kwamba blogu yake imechangia kukua kwa umarufu wake wa mtandaoni.

German

ihr blog besteht aber erst seit 3 jahren und hat zweifellos zum wachstum ihrer gruppe von online fans beigetragen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

aliruhusiwa kuwa na mwanae, lakini akaamua kwamba mwanae anahitaji kukua akiwa mtu huru:

German

es wurde ihr erlaubt, ihr kind bei sich zu behalten, doch entschied sie sich dafür, dass das kind frei aufwachsen sollte:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maendeleo haya yamesababisha kukua kwa ujasiria mali mpya barani afrika, hususani kwenye nchi zizungumzao kifaransa.

German

diese entwicklung hat einen neuen unternehmerischen impuls in afrika hervorgerufen, insbesondere im französischsprachigen afrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa maneno mengine, inakusudia kukabiliana kile kinachoifahamika kuwa kukua kwa ubaguzi dhidi ya wakimbizi wa syria wanaoishi lebanoni.

German

in anderen worten, geht sie das an, was als zunehmende diskriminierung gegenüber den syrischen flüchtlingen empfunden wird, die im libanon leben.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika ngazi za chini kabisa, mara nyingi juhudi hazifanyiki kuelewa hali mahususi zinazosababisha kukua kwa hali hii ya kutokuwepo kwa usawa.

German

auf lokaler ebene werden oft nicht die nötigen schritte unternommen, um die genauen zusammenhänge zu verstehen, die zur wachsenden ungleichheit führen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

unaweza kusoma shuhuda zaidi kuhusu kukua na mzazi gerezani na madhara mbalimbali ambayo kufunga wanawake kunaweza kuyawasababisha kwa watoto wao kwenye wanawake na magereza.

German

in women and prison können sie weitere zeugenberichte lesen, sowie über das aufwachsen mit eltern im gefängnis und die verschiedenen auswirkungen, die eingekerkerte frauen auf ihre kinder haben.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na ardhi njema, yenye udongo wa rutba, hutoa mimea yenye kukua vizuri yenye uhai, kwa idhini ya mola mlezi wake.

German

und das gute land bringt seine pflanzen mit der erlaubnis seines herrn hervor.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

udongo wenyewe huiwezesha mimea kukua na kuzaa matunda: kwanza huchipua jani changa, kisha suke, na mwishowe nafaka ndani ya suke.

German

denn die erde bringt von selbst zum ersten das gras, darnach die Ähren, darnach den vollen weizen in den Ähren.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wakati huo kanisa likawa na amani popote katika yudea, galilaya, na samaria. lilijengwa na kukua katika kumcha bwana, na kuongezeka likitiwa moyo na roho mtakatifu.

German

so hatte nun die ganze gemeinde frieden durch ganz judäa und galiläa und samarien und baute sich und wandelte in der furcht des herrn und ward erfüllt mit trost des heiligen geistes.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kiuhalisia, katika mazingira haya, mahitaji yote muhimu kwa ukuaji wa watoto yameharibiwa, , and the psychological damages of armed conflicts are incalculable.... waototo hawa, wanaoshindwa kukua katika mazingira mazuri na badala yake wanakabiliana na matukio ya ukatili wakiwa na umri mdogo kabisa, mara nyingi wanajijengeaa dhana ya kwamba vurugu ni njia kama zilivyonjia njia nyingine za kutatua migogoro, na kwa hiyo inakuwa vigumu sana kwao kutuma ujumbe wa amani na ulinzi wa kimataifa kwa vizazi vijavyo.

German

unter solchen bedingungen sind so gut wie alle nötigen konstanten für die entwicklung des kindes gestört und die psychologischen schäden durch bewaffnete konflikte sind unberechenbar... diese kinder, die nicht in einer umwelt des vertrauens aufwachsen und die schon in sehr jungem alter gewalttaten gegenüberstanden, entwickeln oft das urteil gewalt sei ein weg wie jeder andere zur lösung von streit und daher ist es schwer für sie eine botschaft des friedens und der internationalen sicherheit an zukünftige generationen zu übermitteln.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,800,153,393 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK