Results for kutembea translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

kutembea

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

endeleeni kutembea katika njia iliyonyoka, ili kile kilicholemaa kisiumizwe, bali kiponywe.

German

und tut gewisse tritte mit euren füßen, daß nicht jemand strauchle wie ein lahmer, sondern vielmehr gesund werde.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni nafuu sana kwa tembo kutembea bila aina yoyote ya mzigo na wala kuwekwa juu ya shingo zao.

German

es ist besser für die elefanten, wenn man sie ohne irgendeine art von sattel reitet und stattdessen hinter ihrem kopf sitzt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulikuwa na mtu mmoja huko lustra ambaye alikuwa amelemaa miguu tangu kuzaliwa, na alikuwa hajapata kutembea kamwe.

German

und es war ein mann zu lystra, der mußte sitzen; denn er hatte schwache füße und war lahm von mutterleibe, der noch nie gewandelt hatte.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wako wachache huko sarde ambao hawakuyachafua mavazi yao. hao wanastahili kutembea pamoja nami wakiwa wamevaa mavazi meupe.

German

aber du hast etliche namen zu sardes, die nicht ihre kleider besudelt haben; und sie werden mit mir wandeln in weißen kleidern, denn sie sind's wert.

Last Update: 2023-12-26
Usage Frequency: 3
Quality:

Swahili

seneta mteule, mbura anasemekana kuwaomba wanawake katika mkoa wa pwani kutembea nusu uchi ili kuwavutia watalii zaidi kuzuru eneo hilo.

German

der senatsabgeordnete mbura soll frauen in der küstenregion dazu aufgerufen haben, sich oben ohne zu bewegen, um den lokalen tourismus zu fördern.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, kutembea uchi yanaweza kuwa mbinu bora ya kufufua sekta ya utalii nchini kenya kufuatia mashambulizi ya wanamgambo wa al shabaab?:

German

ist oben ohne zu gehen eine wirksame strategie, um kenias tourismusindustrie nach den terrorangriffen durch die al-shabaab-miliz wieder auf die beine zu helfen?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akasema kwa sauti kubwa, "simama wima kwa miguu yako!" huyo mtu aliyelemaa akainuka ghafla, akaanza kutembea.

German

sprach er mit lauter stimme: stehe aufrecht auf deine füße! und er sprang auf und wandelte.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kami alipozinduliwa, akiwa na nywele zake za kahawia na pia alivaa fulana, na kutembea kwenye mtaa wa susame na kujiuliza huku akihofu kama wenyeji watataka kucheza nae.

German

als kami zum ersten mal mit ihrem mopp brauner haare – sie trug auch eine weste - auftrat, lief sie in die sesamstraße und fragte sich nervös, ob die bewohner wohl mit ihr spielen wollten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara msichana akasimama, akaanza kutembea. (alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili.) hapo watu wakashangaa kupita kiasi.

German

und alsbald stand das mägdlein auf und wandelte; es war aber zwölf jahre alt. und sie entsetzten sich über die maßen.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanaadamu wengine waliobaki ambao hawakuuawa na mabaa hayo, hawakugeuka na kuviacha vitu walivyokuwa wametengeneza kwa mikono yao wenyewe; bali wakaendelea kuabudu pepo, sanamu za dhahabu, fedha, shaba, mawe na miti, vitu ambavyo haviwezi kuona, kusikia wala kutembea.

German

und die übrigen leute, die nicht getötet wurden von diesen plagen, taten nicht buße für die werke ihrer hände, daß sie nicht anbeteten die teufel und goldenen, silbernen, ehernen, steinernen und hölzernen götzen, welche weder sehen noch hören noch wandeln können;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,776,775,252 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK