Results for kwaheri kwa sasa translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

kwaheri kwa sasa

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

“kwa sasa, ninapaswa kuchukua tahadhari kila mtaa ninaopita.”

German

“sogar ich muss aufpassen, wo ich hingehe, wenn ich jetzt auf die straße gehe.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa watu wanalala kwa amani, hata kuzima taa wakati wa usiku.

German

die menschen sind zu ihrem alltag zurückgekehrt, sie schlafen in frieden und schalten nachts die lichter wieder aus.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hakika inaonekana hivyo kwa sasa. labda kufanana kwa miili ni ndoto.

German

es fühlt sich aber verdammt noch mal so an, als sollte das endlich so sein, doch genau das ist vielleicht eine illusion.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatimaye, baada ya siku 46 mfululizo za matetemeko, angalao ardhi kwa sasa inatulia.

German

nun endlich scheint es als käme die erde wieder zur ruhe - nach 46 tagen konstanter bedrohung durch erschütterungen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa mwanaume akinichokoza tu, kamwe hatakuwa salama" mshiriki mmoja ananiambia.

German

aber wenn mich ein junge jetzt ärgert, dann ist er nicht länger sicher" erzählt mir eine teilnehmerin.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa sasa yuko na mama yake kijijini karibu na eneo la nawa huko seraa. amekuwa huko kwa miaka mitatu.

German

mit seiner mutter in einem dorf in der nähe von nawa bei dar'a. er ist dort seit drei jahren.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa, mgogoro na boko haram huko kusini magharibi mwa niger ndio unaotawala vichwa vya habari vya nchi hiyo.

German

einseitige nachrichten sind nur eine folge des konflikts mit boko haram im südwesten des nigers.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa, annie ni miongoni mwa wanakikundi "mchanganyiko" wa bendi ya afro, pepe soup.

German

annie ist heute mitglied einer gemischten afro-band, pepe soup.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@joydoreenbiira: alengot oromait, msichana wa miaka 19 kwa sasa ni mbunge katika bunge la uganda.....

German

@joydoreenbiira: alengot oromait, 19 jahre alt, ist jetzt parlamentsmitglied in uganda....

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

cameroon kwa sasa ni kati ya nchi kumi maarufu za kiafrika zenye ujazo mkubwa wa twiti, ingawa twiti nyingi zinatokea kwenye miji ya douala na yaoundé.

German

kamerun ist nun unter den zehn afrikanischen ländern mit dem größten volumen an twitternachrichten. dabei konzentriert sich das twittern allerdings auf die städte douala und yaoundé.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"kwa sasa, inaonekana idadi kubwa ya watoto jijini, kama siyo kujiunga na magenge basi wanachagua kukimbia," anasema janowitz.

German

"im moment hat es den anschein für viele kinder der stadt, als hätten sie nur die wahl wegzurennen oder einer bande beizutreten", sagt janowitz.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa nyongeza, tayari jitihada za kiubunifu zimefanyika na haina shaka kuwa jitahada hizo zitaongeza kuenea kwa mitandao ya kijamii, ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi ambayo kwa sasa inasaidia kukuza shughuli za kiuchumi.

German

zudem wurden bereits einige innovationen entwickelt, die die verbreitung sozialer medien forcieren werden, darunter das nutzen von mobiltelefonen für kommerzielle aktivitäten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sasa anayetenda mabaya na aendelee kutenda mabaya, na aliye mchafu aendelee kuwa mchafu. mwenye kutenda mema na azidi kutenda mema, na aliye mtakatifu na azidi kuwa mtakatifu."

German

wer böse ist, der sei fernerhin böse, und wer unrein ist, der sei fernerhin unrein; aber wer fromm ist, der sei fernerhin fromm, und wer heilig ist, der sei fernerhin heilig.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwezi julai tutakua tukizungumzia kwa mapana kabisa mambo yanayohusiana na uhamiaji: kutoka kwenye mswada wa uhamiaji ambao kwa sasa unajadiliwa katika bunge la marekani, hadi kwenye habari kuhusu safari ngumu na ndefu za wahamiaji kutoka kaskazini mwa amerika kupitia amerika ya kati hadi nchini mexico.

German

im juli werden wir eine fülle von migrationsbezogenen themen behandeln: vom einwanderungsgesetz, das derzeit im us-kongress diskutiert wird, bis zu den geschichten der menschen, welche die beschwerliche und gefährliche reise in richtung norden durch zentralamerika und mexiko antreten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@fatma_mesned: kwa wale wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa waandamanaji: kwa sasa tupo mbele ya gereza la al-malez, upande wa wanawake.

German

@fatma_mesned: an die, die der gefangenen fordern: wir sind jetzt vor dem al-malez-gefängnis, vor dem frauentrakt.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.

Get a better translation with
8,025,475,621 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK