Results for makali translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

kisha malaika mwingine akatoka katika hekalu mbinguni akiwa na mundu wenye makali.

German

und ein anderer engel ging aus dem tempel, der hatte eine scharfe hippe.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wapenzi wangu, msishangae kuhusu majaribio makali mnayopata kana kwamba mnapatwa na kitu kisicho cha kawaida.

German

ihr lieben, lasset euch die hitze, so euch begegnet, nicht befremden (die euch widerfährt, daß ihr versucht werdet), als widerführe euch etwas seltsames;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo tajiri, alikuwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona abrahamu kwa mbali na lazaro karibu naye.

German

als er nun in der hölle und in der qual war, hob er seine augen auf und sah abraham von ferne und lazarus in seinem schoß.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tukawapelekea mafuriko makubwa, na tukawabadilishia badala ya bustani zao hizo kwa bustani nyengine zenye matunda makali machungu, na mivinje, na kidogo katika miti ya kunazi.

German

da sandten wir gegen sie die flut des staudammes, und wir tauschten ihnen ihre zwei gärten aus gegen zwei gärten mit bitterem ern teertrag und tamarisken und einigen wenigen zizyphusbäumen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wakaacha. tukawapelekea mafuriko makubwa, na tukawabadilishia badala ya bustani zao hizo kwa bustani nyengine zenye matunda makali machungu, na mivinje, na kidogo katika miti ya kunazi.

German

dann wandten sie sich ab, dann entsandten wir ihnen den sturzbach des damms und tauschten ihnen ihre beiden dschannat ein gegen zwei dschannat von bitteren früchten, von tamarisken und von ein wenig lotosbäumen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sikiliza! sasa namtupa kitandani ambapo yeye pamoja na wote waliofanya uzinzi naye watapatwa na mateso makali. naam, nitafanya hivyo, kama wasipotubu matendo yao mabaya waliyotenda naye.

German

siehe, ich werfe sie in ein bett, und die mit ihr die ehe gebrochen haben, in große trübsal, wo sie nicht buße tun für ihre werke,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini rais aliyethibitishwa hivi karibuni, goodluck jonathan anaelekea kubadili mtindo huu: wiki chache zilizopita alifungua anwani yake ya facebook, na siku mbili baadaye alibadili uamuzi uliokuwa umejaa utata mwingi baada ya washabiki wengi walioudhiwa na uamuzi wake kuandika maoni yao makali kwenye ukurasa wake wa facebook.

German

aber der gerade bestätigte präsident goodluck jonathan könnte das ändern: vor einigen wochen richtete er einen facebook-account ein, und revidierte zwei tage später eine kontroverse entscheidung, nachdem hunderte fans ihren unmut bekundet hatten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,899,353,913 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK