Results for mkononi translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

mkononi

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

nikawapa muda makafiri, kisha nikawatia mkononi.

German

da gewährte ich den ungläubigen aufschub, dann ergriff ich sie.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuongozeka kwa vitendo vya kujichukulia sheria mkononi nchini senegali

German

senegal: selbstjustiz auf dem vormarsch

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mwenyezi mungu aliwatia mkononi kwa sababu ya madhambi yao.

German

da ergriff sie gott wegen ihrer sünden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na musa pia alikanushwa. nikawapa muda makafiri, kisha nikawatia mkononi.

German

auch musa wurde der lüge bezichtigt, so gewährte ich den kafir noch längere zeit, dann richtete ich sie zugrunde.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangu kuzinduliwa, takriban jumbe 3,000 za simu za mkononi zimepokelewa.

German

seit start der plattform sind etwa 3.000 sms eingegangen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikawapa muda makafiri, kisha nikawatia mkononi. basi ilikuwaje adhabu yangu!

German

ich gewährte alsdann den ungläubigen aufschub; dann erfaßte ich sie, und wie war es mit der verleugnung!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na miji mingapi niliipa muda na hali ilikuwa imedhulumu, na kisha nikaitia mkononi?

German

und manch einer stadt gewährte ich aufschub, obgleich sie voll des frevels war.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi ametakasika yule ambaye mkononi mwake umo ufalme wa kila kitu; na kwake yeye mtarejeshwa.

German

also gepriesen sei der, in dessen hand die herrschaft über alle dinge ruht und zu dem ihr zurückgebracht werdet!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ametukuka ambaye mkononi mwake umo ufalme wote; na yeye ni mwenye uweza juu ya kila kitu.

German

gesegnet sei der, in dessen hand die königsherrschaft ist! und er hat macht zu allen dingen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na shika kicha cha vijiti tu mkononi mwako, kisha ndio upigie nacho, wala usivunje kiapo.

German

"und nimm mit deiner hand ein kleines bündel, dann schlage mit ihm und sei nicht eidbrüchig!" gewiß, wir fanden ihn einen sich in geduld Übenden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

leo hii, simu za mkononi ni teknolojia ya muhimu zaidi kwa wakimbizi ili kuweza kuwapata ndugu na kuendelea kuwasiliana nao.

German

handys sind heute die wichtigste technologie für flüchtlinge, um verwandte zu finden und in kontakt zu bleiben.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu kadhaa walijotkeza na kumpiga vibay sana kiasi cha kupoteza fahamu na pia walichukua simu yake ya mkononi pamoja na ngamizi mpakato yake.

German

mehrere leute schlugen ihn zusammen, sodass er ohnmächtig wurde. sie nahmen ihm sein handy und seinen laptop ab.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa al jazeera, somalia speaks pia ni fursa ya kujaribu mbinu bunifu za simu za mkononi katika uanahabari wa kiraia na ukusanyaji habari.

German

für al jazeera ist somalia speaks außerdem eine möglichkeit innovative mobilfunklösungen für bürgermedien und die nachrichtenberichterstattung zu testen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi sasa, wakimbizi na watu walipoteza makazi katika nchi maskini zaidi mara nyingi huwa na uwezo wa kupata simu za mkononi na wana uwezo wa kuangalia televisheni za setilaiti.

German

heute haben flüchtlinge und binnenvertriebene in den ärmsten ländern der welt oft zugang zu handys und sind außerdem in der lage satellitenfernsehen zu schauen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, mobileactive, inahamasishwa na uwezo wa simu za mkononi zinavyowawezesha wakimbizi siyo tu kuwasiliana na wapendwa wao, bali pia kuweza kujua mahali walipo.

German

mobileactive zum beispiel hat sich gebildet, weil es das potential von mobiltelefonen erkannt hat, flüchtlingen nicht nur den kontakt zu ihren angehörigen zu ermöglichen sondern diese auch zu finden.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama ambavyo sasa imekuwa jambo la kutarajiwa, vyombo vya habari vya kiraia vya irani vilirekodi 'historia' hiyo kupitia simu zao za mkononi.

German

wie zu erwarten war, haben die iranischen bürger-journalisten die “historie” mit ihren handys aufgezeichnet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye anashika mkononi chombo cha kupuria nafaka, ili aipure nafaka yake; akusanye ngano ghalani, na makapi ayachome kwa moto usiozimika."

German

und er hat seine wurfschaufel in der hand: er wird seine tenne fegen und den weizen in seine scheune sammeln; aber die spreu wird er verbrennen mit ewigem feuer.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"jinsi walivyo wabunifu, kwa mfano kutuma pesa kwa kutumia simu za mkononi, kukusanya habari inayotumiwa kutengeneza ramani ya sehemu ambako kuna ghasia, hizo ndizo nizipendazo kuhusu afrika

German

... sie macht mich wütend und frustriert, sie lässt mich hängen, nimmt ein bad in der menge und wird von einigen ziemlich finsteren typen beeinflusst, viele davon aus fernen ländern. aber ich kann es nicht ändern, ich liebe sie sehr - sie lebt, sie ist real und weise mit so vielen wunderbaren bedeutenden geschichten der menschlichkeit und des lebens.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwezi machi 2014 yatakuwa ni maadhimisho ya miaka saba tangu m-pesa, huduma ya kufanya miamala ya kifedha kwa njia ya simu na huduma ndogo za kibenki, ilipoanzishwa kenya na kampuni ya simu za mkononi iitwayo safaricom.

German

das ist ein mithilfe von mobiltelefonen funktionierender service für den bargeldlosen zahlungsverkehr, für das elektronische aufbewahren von geldguthaben sowie zur aufnahme und rückzahlung von mikrokrediten.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sura mbili (za jarida hilo) zinaangaza nuru juu ya matumizi ya simu za mkononi baina ya wakimbizi, aidha juu ya baadhi ya matatizo ya teknolojia hii katika kutafuta na kuwasiliana na ndugu kama vile suala la usalama na upatikanaji.

German

zwei kapitel beleuchten die nutzung von handys unter flüchtlingen. hierzu zählen auch probleme mit handys, um familienangehörige ausfindig zu machen und sie zu kontaktieren, sowie fragen der sicherheit und des zugangs zur mobilfunktechnologie.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,710,117 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK