Results for mwanafunzi translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

mwanafunzi

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

iran: maandano ya siku ya mwanafunzi kwenye youtube

German

iran: studenten-demonstration auf youtube

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine wakaenda kaburini.

German

da ging petrus und der andere jünger hinaus zum grabe.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu asipochukua msalaba wake na kunifuata hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

German

und wer nicht sein kreuz trägt und mir nachfolgt, der kann nicht mein jünger sein.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunisia: mwanafunzi atupwa gerezani kwa kuhojiwa na chombo cha habari

German

tunesien: student für presse-interview eingesperrt

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"mwanafunzi si mkuu kuliko mwalimu wake, wala mtumishi si mkuu kuliko bwana wake.

German

der jünger ist nicht über seinen meister noch der knecht über den herrn.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwanafunzi huyo akasogea karibu zaidi na yesu, akamwuliza, "bwana, ni nani?"

German

denn derselbe lag an der brust jesu, und er sprach zu ihm: herr, wer ist's?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kisha yule mwanafunzi mwingine aliyemtangulia kufika kaburini, akaingia pia ndani, akaona, akaaamini.

German

da ging auch der andere jünger hinein, der am ersten zum grabe kam, und er sah und glaubte es.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wote wawili walikimbia lakini yule mwanafunzi mwingine alikimbia mbio zaidi kuliko petro, akatangulia kufika kaburini.

German

es liefen aber die zwei miteinander, und der andere jünger lief zuvor, schneller denn petrus, und kam am ersten zum grabe,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vivyo hivyo, basi, hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa mwanafunzi wangu kama asipoachilia kila kitu alicho nacho.

German

also muß auch ein jeglicher unter euch, der nicht absagt allem, was er hat, kann nicht mein jünger sein.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa armathaya, jina lake yosefu. yeye pia alikuwa mwanafunzi wa yesu.

German

am abend aber kam ein reicher mann von arimathia, der hieß joseph, welcher auch ein jünger jesu war.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chuo kikuu cha elmo sanat mjini tehran waliandamana wakiwa na picha ya kianoush asa, mwanafunzi aliyeuawa na vikosi vya ulinzi majira ya kiangazi mwaka 2009.

German

denkt an die märtyrer elmo sanat universität in teheran marschierte mit einem foto von kianoush asa, einem studenten, der durch die sicherheitskräfte im sommer 2009 ermordet wurde.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

idadi ya tafiti zilizochapishwa vitabu hutumika kuonyesha uwezo wa mtu kitaaluma, au kuamua kama mwanafunzi wa tafiti anaweza kuendelea kufikia ngazi ya kutetea utafiti wake.

German

nachrichtenagentur) beschreibt diese psychologie wie folgt:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

simoni petro pamoja na mwanafunzi mwingine walimfuata yesu. huyo mwanafunzi mwingine alikuwa anajulikana kwa kuhani mkuu, hivyo aliingia pamoja na yesu ndani ya ukumbi wa kuhani mkuu.

German

simon petrus aber folgte jesu nach und ein anderer jünger. dieser jünger war den hohenpriestern bekannt und ging mit jesu hinein in des hohenpriesters palast.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

#herooftheweek tuzo iende kwa binti wa miaka 20 marisol valles garcia, mwanafunzi wa kriminolojia ambaye ni mkuu wa polisi wa guadalupe, nchini mexico…

German

#herooftheweek (held der woche) auszeichnung geht an die 20-jährige marisol valles garcia, eine kriminologie studentin, die polizeichefin in guadalupe, mexiko geworden ist ...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

juni 27 kulikuwa na mkutano uliofanyika katika chuo kikuu cha toronto nchini canada, mahali ambapo alex ni mwanafunzi wa shahada ya uzamifu (phd) na mhadhiri msaidizi.

German

am 27. juni war die universität von toronto gastgeberin eines treffens. alex gehört dieser universität als doktorand und akademischer assistent an.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanafunzi kutoka amerika anayependa afrika, karen killenberg, alikusanya vichapisho vichache alivyovipenda kuhusu jinsi watu wanavyopenda afrika, na pia anamanukuu mwanablogu tatenda muranda katika twitter kuhusu sababu zake za kuandika:

German

die amerikanische studentin und afrikaliebhaberin karen kilberg sammelte einige ihrer lieblingsbeiträge über das meme und zitiert auch die afrikanische bloggerin tatenda muranda als begründung für ihren beitrag:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipomwona mama yake, na karibu naye amesimama yule mwanafunzi aliyempenda, akamwambia mama yake: "mama! tazama, huyo ndiye mwanao."

German

da nun jesus seine mutter sah und den jünger dabeistehen, den er liebhatte, spricht er zu seiner mutter: weib, siehe, das ist dein sohn!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mwanzoni mwa mkutano - sasa katika muundo unaopatikana kirahisi - igor shoikhedbrod, mwanafunzi mwenzake wa shahada ya uzamifu katika chuo kikuu cha toronto, alimsifia alex, si tu kama mwenzake, lakini kama rafiki wa familia ya sodiqov:

German

zu beginn dieses treffens - jetzt in einem einbettbaren format - bekundete alexanders doktoranden-kommilitone igor shoikhedbrod in bewegenden worten seinen respekt für ihn, nicht nur als kollege, sondern als freund der familie sodiqov:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,739,894,356 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK