From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
mwanasheria, nana addo-aikens, anaendelea:
der jurist nana addo-aikens erläutert weiter:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mmoja wao, mwanasheria, akamwuliza yesu kwa kumjaribu,
und einer unter ihnen, ein schriftgelehrter, versuchte ihn und sprach:
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanasheria wa wanablogu hao aliliambia shirika la habari la afp kwamba mashitaka hayo "hayana maaana yoyote."
der anwalt der blogger sagte gegenüber afp, dass die anklage keine stichhaltige begründung habe, also juristisch nicht substantiiert ist.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali mnamo machi 27, watu 2,157 wamekamatwa wakati wa maandamano.
den zahlen nach, die vom büro der generalstaatsanwaltschaft am 27. märz veröffentlicht wurden, sind 2.157 menschen während der proteste in gewahrsam genommen worden.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika makala kuhusu marekebisho ya katiba katika tovuti ya shirika la habari la ips, osabutey anny anamnukuu mwanasheria na katibu mtendaji wa tume hiyo, dkt.
in einem stück über die verfassungsänderungen auf der website inter press services (ips) news zitiert osabutey anny den juristen und geschäftsführer des ausschusses, dr. raymond atuguba, folgendermaßen:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kuna mwanasheria aliyependekeza kwamba maopitio ya katiba ni lazima yahakikishe kwamba madaraka yanabaki katika mikono ya wananchi kwa kupitia taasisi na vyombo vyenye miundo mizuri na mfumo mzuri kabisa wa mabunge ya majimbo.
ein jurist hat vorgeschlagen, dass bei der verfassungsprüfung gewährleistet werden sollte, dass die macht durch gut strukturierte lokale institutionen und organe und ein perfektioniertes bezirksversammlungssystem in den händen des volkes bleiben sollte.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
akihojiwa na algerie-focus, ghanem alieleza kuwa pamoja na changamoto nyingine, ilikuwa vigumu kumpata mwanasheria wa kumtetea dhidi ya mashitaka hayo:
in einem interview mit algerie-focus erklärte ghanem, dass er schwierigkeiten hatte, einen anwalt für seine verteidigung zu finden, und man ihm auch in anderer hinsicht steine in den weg legte.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali, polisi pia waliiarifu familia ya soudani kwamba alikamatwa na kupelekwa mahakamani na kupatikana na hatia ya kosa la “kuwa na mwenendo mbaya” wakati wa kuwa kwake kizuini pasipo msaada wa mwanasheria na hivyo kuhukumiwa kifungo cha miezi minne gerezani.
laut einigen quellen informierte die polizei soudanis familie ferner, dass er vor gericht gestellt wurde und aufgrund von "ordnungswidrigem benehmen" ohne rechtsbeistand zu vier monaten gefängnis verurteilt worden war.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting