From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kweli nawaambieni, anayeniamini atafanya mambo ninayofanya mimi; naam, atafanya hata makuu zaidi, maana nakwenda kwa baba.
wahrlich, wahrlich ich sage euch: wer an mich glaubt, der wird die werke auch tun, die ich tue, und wird größere als diese tun; denn ich gehe zum vater.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mnapaswa kuniamini ninaposema kwamba mimi niko ndani ya baba naye baba yuko ndani yangu. ama sivyo, aminini kwa sababu ya mambo ninayofanya.
glaubet mir, daß ich im vater und der vater in mir ist; wo nicht, so glaubet mir doch um der werke willen.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenda kwangu kulitokana na ufunuo alionipa mungu. katika kikao cha faragha niliwaeleza hao viongozi ujumbe wa habari njema niliohubiri kwa watu wa mataifa. nilifanya hivyo kusudi kazi yangu niliyokuwa nimefanya, na ile ninayofanya sasa isije ikawa bure.
ich zog aber hinauf aus einer offenbarung und besprach mich mit ihnen über das evangelium, das ich predige unter den heiden, besonders aber mit denen, die das ansehen hatten, auf daß ich nicht vergeblich liefe oder gelaufen wäre.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.