Results for priskila translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

walifika efeso na hapo paulo aliwaacha priskila na akula, akaenda katika sunagogi, akajadiliana na wayahudi.

German

und er kam gen ephesus und ließ sie daselbst; er aber ging in die schule und redete mit den juden.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makanisa yote ya asia yanawasalimuni. akula na priskila pamoja na watu wote wa mungu walio nyumbani mwao wanawasalimuni sana katika bwana.

German

es grüßen euch die gemeinden in asien. es grüßt euch sehr in dem herrn aquila und priscilla samt der gemeinde in ihrem hause.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

paulo alikaa bado na wale ndugu huko korintho kwa siku nyingi. kisha aliwaaga, akapanda meli kwenda siria pamoja na priskila na akula. huko kenkrea, alinyoa nywele zake kwa sababu ya nadhiri aliyokuwa ameweka.

German

paulus aber blieb noch lange daselbst; darnach machte er einen abschied mit den brüdern und wollte nach syrien schiffen und mit ihm priscilla und aquila. und er schor sein haupt zu kenchreä, denn er hatte ein gelübde.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huko korintho, alimkuta myahudi mmoja aitwaye akula, mzaliwa wa ponto. akula pamoja na mkewe aitwaye priskila, walikuwa wamerudi kutoka italia siku hizohizo kwa sababu kaisari klaudio alikuwa ameamuru wayahudi wote waondoke roma. paulo alikwenda kuwaona,

German

und fand einen juden mit namen aquila, von geburt aus pontus, welcher war neulich aus italien gekommen samt seinem weibe priscilla (darum daß der kaiser klaudius geboten hatte allen juden, zu weichen aus rom).

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,941,571,189 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK