From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kama kikaragosi cha kwanza duniani chenye vvu, kinasaidia kuwaelimisha watoto kuhusu ugonjwa na kushughulikia masuala yanayohusiana na kuwa mwathirika wa ukimwi.
als weltweit erstes, hiv-positives muppet hilft sie dabei, kinder über die krankheit aufzuklären, und spricht probleme von menschen mit hiv an.
ni kwa sababu chanjo hujaribiwa kwa watu wasio na ugonjwa ili kuchunguza ubora wake na kitengo cha cha mrc hapa gambia kina uzoefu wa miaka mingi katika kufanya tafiti hizi.
weil impfstoffe an gesunden menschen getestet werden müssen um ihre effektivität zu beurteilen und zudem hat mrc jahrelange erfahrungen in solchen studien.
madhara ya kulipuka kwa ugonjwa huu katika eneo la afrika magharibi tayari yanaonekana kwa kudorora kwa uchumi wa gambia ukiacha matatizo ya kiafya yanayoweza kujitokeza kama ugonjwa utaenea na kuingia gambia.
the impact of the ebola outbreak in west africa already having dire economic consequences to the gambia not to mention the potential health implications if the disease were to spread into the gambia.
mlipuko wa homa ya ebola umeua watu wasiopungua 59 nchini guinea na matukio kadhaa yanayohofiwa kuwa ya homa hiyo yamekaribia kwenye mjini mkuu conakry hiyo ikimaanisha kuwa ugonjwa huo unaweza kuenea kwenye mji mkuu wa guinea.
ein paar mutmaßliche fälle, die in der nähe der haupstadt conakry auftraten, lassen vermuten, dass es sich bis zur haupstadt guineas ausgebreitet hat.
habari za mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini senegali zilimfanya mtumiaji wa mtandao wa facebook nchini gambia arfang jobe kupendekeza kwamba makampuni ya simu yashirikiane na wizara ya afya kutuma ujumbe mfupi wa maneno kuwaelimisha watu kuhusiana na ugonjwa huo.
die nachricht des ersten ebola-falles im senegal hat den gambischen facebook-nutzer afrang jobe dazu motiviert zu einer partnerschaft des gesundheitsministeriums und der mobilfunkbetreiber in gambia zu raten, die kurznachrichten an gambias bürger senden, um über die krankheit aufzuklären. hassan njie steht dieser empfehlung skeptisch gegenüber: the last thing we want is to send fear into the minds of gambians.
kufuatia kuthibitishwa kwa mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini senegali , nchi jirani ya gambia, ilikumbwa na tahayaruki kufuatia wasiwasi wa namna nchi hiyo ilivyojiandaa kukabiliana na maradhi hayo kadhalika kuhusu uelewa wa jamii kuhusiana na ugonjwa huo.
nach der bestätigung des ersten falles von ebola im senegal, dem unmittelbaren nachbarstaat gambias, wuchsen die sorgen über die vorbereitung des landes und die öffentliche wahrnehmung der krankheit.
ugonjwa huu unawafanya watoto kushindwa kufanya shughuli yoyote ya uzalishaji; wasichana hawawezi hata kushika kisu ili kuandaa chakula, na kwa wavulana, hawawezi hata kushika jembe na kuotesha walau mbegu moja ya mmea.
die krankheit beraubt kinder ihrer chance, aktiv zu sein - wie (im falle der mädchen) der fähigkeit, ein messer zu halten, um eine mahlzeit zuzubereiten oder (im falle der jungen) der fähigkeit, eine hacke zu halten, um zu säen.
“kami ni mwathirika wa vvu mwenye afya, yatima wa miaka mitano mwenye bashasha ambaye ana aibu kidogo lakini huchangamka akijongelewa kwa njia ya kirafiki, pia anajua mengi kuhusu virusi vya ukimwi, alimpoteza mama yake kwa ugonjwa huo.
„kami ist eine gesunde, hiv-positive, liebevolle, 5-jährige waise, die etwas schüchtern ist, aber schnell mitmacht, wenn sie freundlich angesprochen wird. sie weiß außerdem sehr viel über hiv, sie verlor ihre mutter an die krankheit.
maelezo ya muungano huo kwenye tovuti yao yanasema: kwa kuelewa ukaribu uliopo kati ya gambia na maeneo mengine yaliyokumbwa na mlipuko wa maradhi ya ebola, kuna ulazima wa kuchukua hatua za dharura kudhibiti kuingia kwa maambukizi ya maradhi hayo nchini gambia kwa kuwaelimisha watu kuhusiana na ugonjwa huo, namna unavyoambukizwa na kadhalika jinsi ya kujilinda na maambukizi.
eine beschreibung der koalition auf ihrer webseite besagt: in light of the proximity of gambia to the ebola infected areas, there is a pressing need for immediate action to arrest the possible spread of ebola into the gambia by sensitizing the population about the nature of the disease, how it is spread and how to avoid being infected.