From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
akawa anahubiri katika masunagogi ya yudea.
ויהי קורא בבתי הכנסיות אשר בגליל׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha akainama tena, akawa anaandika ardhini.
ויכף שנית למטה ויתו על הקרקע׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
naye yesu akawa anatembea hekaluni katika ukumbi wa solomoni.
ויתהלך ישוע במקדש באולם של שלמה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
naye akawa anawafundisha watu katika masunagogi yao, akasifiwa na wote.
והוא היה מלמד בבתי כנסיותיהם ויהללהו כלם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na tangu wakati huo yuda akawa anatafuta nafasi ya kumsaliti.
ומן העת ההיא בקש תאנה למסר אותו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu aliingia mjini yeriko, akawa anapita katika njia za mji huo.
ויבוא ויעבר ביריחו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na alipofanywa mkamilifu, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wale wote wanaomtii,
ואחרי אשר השלם היה ממציא תשועת עולמים לכל שמעיו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kumbe, kuhani mmoja akawa anapita barabara ileile, akamwona, akapita kando.
ויקר המקרה כי ירד כהן אחד בדרך ההוא וירא אתו ויעבר מעליו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha yesu akashuka mpaka kafarnaumu katika mkoa wa galilaya, akawa anawafundisha watu siku ya sabato.
וירד אל כפר נחום עיר הגליל וילמדם בשבתות׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kesho yake asubuhi na mapema alikwenda tena hekaluni. watu wote wakamwendea, naye akaketi akawa anawafundisha.
ויהי בבקר ויבא עוד אל המקדש וכל העם באו אליו וישב וילמדם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu akawa anafundisha kila siku hekaluni. makuhani wakuu, walimu wa sheria na viongozi wa watu walitaka kumwangamiza,
ויהי מלמד יום יום במקדש והכהנים הגדולים והסופרים וגם ראשי העם מבקשים לאבדו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wakamkamata, wakamchukua na kwenda naye nyumbani kwa kuhani mkuu. petro akawa anamfuata nyuma kwa mbali.
ויתפשו אותו ויוליכהו ויביאהו בית הכהן הגדול ופטרוס הלך אחריו מרחוק׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa muda wa miezi mitatu paulo alikuwa akienda katika sunagogi, akawa na majadiliano ya kuvutia sana juu ya ufalme wa mungu.
ויבא אל בית הכנסת ויקרא שם בבטחון לבב וידבר עמם כשלשה חדשים ויט את לבם אל דברי מלכות האלהים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alivukia tena upande wa pili wa ziwa kwa mashua. umati mkubwa wa watu ukakusanyika mbele yake, naye akawa amesimama kando ya ziwa.
וישב ישוע לעבר באניה אל עבר הים ויקהל אליו המון רב והוא על שפת הים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wadanganyifu wengi wamezuka duniani, watu ambao hawakiri kwamba yesu kristo amekuja kwetu akawa binadamu. mtu asemaye hivyo ni mdanganyifu na ni adui wa kristo.
כי מתעים רבים באו לעולם אשר אינם מודים בישוע המשיח כי בא בבשר זה הוא המתעה וצר המשיח׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
huyu ndiye yule aliyekwezwa na mungu mpaka upande wake wa kulia, akawa kiongozi na mwokozi, ili awawezeshe watu wa israeli watubu, wapate kusamehewa dhambi zao.
את זה נשא האלהים בימינו לשר ולמושיע לתת תשובה לישראל וסליחת החטאים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
naye neno akawa mwanadamu, akakaa kwetu. nasi tumeuona utukufu wake, utukufu wake yeye aliye mwana wa pekee wa baba; amejaa neema na ukweli.
והדבר נהיה בשר וישכן בתוכנו ונחזה תפארתו כתפארת בן יחיד לאביו רב חסד ואמת׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, mtu akiwa na mali za hapa duniani, halafu akamwona ndugu yake ana shida, lakini akawa na moyo mgumu bila kumwonea huruma, anawezaje kusema kwamba anampenda mungu?
ואיש אשר לו נכסי העולם והוא ראה את אחיו חסר לחם וקפץ את רחמיו ממנו איך תעמד בו אהבת אלהים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, yohane akawa anawaambia watu wengi waliofika ili awabatize: "enyi kizazi cha nyoka! ni nani aliyewadokezea kwamba mngeweza kuiepuka ghadhabu inayokuja?
ויאמר אל המון העם היצאים להטבל על ידו אתם ילדי הצפעונים מי הורה אתכם להמלט מפני הקצף הבא׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini wengine walikuwa wakaidi, wakakataa kuamini, wakaanza kuongea vibaya hadharani juu ya njia ya bwana. hapo paulo alivunja uhusiano nao, akawachukua pembeni wale wanafunzi wake, akawa anazungumza nao kila siku katika jumba la masomo la turano.
אך מקצתם הקשו את לבבם ולא האמינו וידברו סרה על הדרך הזה לפני הקהל ויסר מהם ויבדל מתוכם את התלמידים וידבר אתם יום יום בבית המדרש של טורנוס׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: