Results for dhahiri translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

ni dhahiri kwangu kwamba umejaa wivu mkali na mfungwa wa dhambi!"

Hebrew

כי ראה אנכי כי באת לידי מרורת רוש וחרצבות רשע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tena jambo hili ni dhahiri zaidi: kuhani mwingine anayefanana na melkisedeki amekwisha tokea.

Hebrew

ועוד יותר ברור הוא אם יוקם על דמיון מלכי צדק כהן אחר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika.

Hebrew

וככה גם המעשים הטובים גלוים המה ואשר אינם כן לא יוכלו להסתר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni dhahiri kwamba mlisikia barabara habari zake, na mkiwa wafuasi wake mkafundishwa ukweli ulivyo katika yesu.

Hebrew

אם אמנם אתו שמעתם ובו למדתם כפי האמת בישוע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuwa sasa tumekubaliwa kuwa waadilifu kwa damu ya kristo, ni dhahiri zaidi kwamba atatuokoa katika ghadhabu ya mungu.

Hebrew

ועתה אשר נצדקנו בדמו מה מאד נושע בו מן הקצף׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yapata saa tisa mchana, aliona dhahiri katika maono malaika wa mungu akiingia ndani na kumwambia, "kornelio!"

Hebrew

ומחזה נראה אליו כשעה התשיעית ליום וירא מלאך אלהים בא אליו פנימה ואמר קרניליוס׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wala si mimi tu, bali hata herode hakuona kosa lolote, kwa maana amemrudisha kwangu. ni dhahiri kwamba mtu huyu hakufanya chochote kinachostahili adhabu ya kifo.

Hebrew

וגם הורדוס לא מצא כי שלחתי אתכם אליו והנה אין בו חטא משפט מות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipotoka nje, hakuweza kusema nao. ikawa dhahiri kwao kwamba alikuwa ameona maono hekaluni. lakini akawa anawapa ishara kwa mikono, akabaki bubu.

Hebrew

ויהי בצאתו לא יכל לדבר אליהם וידעו כי מראה ראה בהיכל וירמז להם ועודנו נאלם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu hao ni kama mawimbi makali ya bahari, na matendo yao ya aibu yanaonekana dhahiri kama vile mapovu ya mawimbi. wao ni kama nyota zinazotangatanga, ambao mungu amewawekea mahali pao milele katika giza kuu.

Hebrew

משברי ים עזים אשר יגרשו בשתם ככבים תעים אשר חשך אפלה צפון להם עדי עד׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni dhahiri kwamba sheria haiwezi kumfanya mtu akubaliwe kuwa mwadilifu; maana maandiko matakatifu yasema: "mwadilifu kwa imani ataishi."

Hebrew

וגלוי הוא כי על ידי התורה לא יצדק האדם לפני האלהים כי צדיק באמונתו יחיה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ni dhahiri kwamba ninyi ni barua ya kristo aliyoipeleka kwa mikono yetu. barua yenyewe imeandikwa si kwa wino, bali kwa roho wa mungu hai; imeandikwa si juu ya kipande cha jiwe, bali juu ya mioyo ya watu.

Hebrew

כי בידוע שאתם אגרת המשיח ערוכה על ידי שרותנו כתובה לא בדיו כי אם ברוח אלהים חיים ולא על לוחות אבן כי אם על לוחות בשר הלב׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

simoni akamjibu, "ni dhahiri kwamba yule aliyesamehewa deni kubwa zaidi atampenda zaidi yule bwana." yesu akamwambia, "sawa."

Hebrew

ויען שמעון ויאמר אחשב כי האיש ההוא אשר הרבה להשמיט לו ויאמר אליו כן שפטת׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kweli, kwa dhambi ya mtu mmoja kifo kilianza kutawala kwa sababu ya huyo mtu mmoja; lakini, ni dhahiri zaidi kwamba alichokifanya yule mtu mmoja, yaani yesu kristo, ni bora zaidi. wote wanaopokea neema na zawadi hiyo ya kukubaliwa kuwa waadilifu, watatawala katika uzima kwa njia ya huyo mmoja, yaani yesu kristo.

Hebrew

כי אם בפשע האחד מלך המות על ידי האחד אף כי מקבלי עדף החסד ומתנת הצדקה ימלכו בחיים על ידי האחד ישוע המשיח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,950,885,063 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK