Results for kama translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

_rejesha iwe kama asili

Hebrew

_שחזר להגדרות המקוריות

Last Update: 2014-08-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niigeni mimi kama ninavyomwiga kristo.

Hebrew

לכו בעקבותי כאשר גם אני הלך בעקבות המשיח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na hata kama nikiwaulizeni swali, hamtanijibu.

Hebrew

וגם אם אשאל לא תשיבו דבר ולא תשלחוני׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama sifanyi kazi za baba yangu msiniamini.

Hebrew

אם לא אעשה את מעשי אבי אל תאמינו לי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wake wawatii waume zao kama kumtii bwana.

Hebrew

הנשים הכנענה לבעליכן כמו לאדנינו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

utusamehe makosa yetu, kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea.

Hebrew

וסלח לנו את חבותינו כאשר סלחנו גם אנחנו לחיבינו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

programu za kutumia wavuti kama barua pepe na wavu

Hebrew

תוכנות לגישה לאינטרנט כגון דפדפן ולקוח דוא״ל

Last Update: 2014-08-15
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanafunzi wakafanya kama yesu alivyowaagiza, wakaandaa pasaka.

Hebrew

ויעשו התלמידים כאשר צום ישוע ויכינו את הפסח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, unataka kuniua kama ulivyomuua yule mmisri jana?

Hebrew

הלהרגני אתה אמר כאשר הרגת אתמל את המצרי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ufalme wako ufike. utakalo lifanyike duniani kama mbinguni.

Hebrew

תבא מלכותך יעשה רצונך כמו בשמים כן בארץ׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hizo zitatoweka, lakini wewe wabaki daima, zote zitachakaa kama vazi.

Hebrew

המה יאבדו ואתה תעמד וכלם כבגד יבלו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anayefikiri kwamba anajua kitu, kwa kweli hajui chochote kama inavyompasa.

Hebrew

החשב כי הוא ידע דבר מה עוד לא ידע מאומה כאשר עליו לדעת אתו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile magugu yanavyokusanywa kuchomwa moto, ndivyo itakavyokuwa mwishoni mwa nyakati;

Hebrew

והנה כאשר ילקטו הזונין ונשרפו באש כן יהיה בקץ העולם הזה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana wafu watakapofufuka, hawataoa wala kuolewa; watakuwa kama malaika wa mbinguni.

Hebrew

כי בעת קומם מן המתים האנשים לא ישאו נשים ולא תנשאנה אך יהיו כמלאכי השמים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na, amri yake ndiyo hii: kumwamini mwanae kristo, na kupendana kama alivyotuamuru.

Hebrew

וזאת היא מצותו להאמין בשם בנו ישוע המשיח ולאהבה איש את רעהו כאשר צונו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

martha akamwambia yesu, "bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!

Hebrew

ותאמר מרתא אל ישוע אדני אלו היית פה כי אז לא מת אחי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama maandiko matakatifu yasemavyo: "yakobo nilimpenda, lakini esau nilimchukia."

Hebrew

ככתוב ואהב את יעקב ואת עשו שנאתי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"simoni, simoni! sikiliza! shetani alitaka kuwapepeta ninyi kama mtu anavyopepeta ngano.

Hebrew

ויאמר האדון שמעון שמעון הנה תבע אתכם השטן לזרותכם כחטים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,906,543,118 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK