Results for kiroho translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

wote walikula chakula kilekile cha kiroho,

Hebrew

וכלם אכלם מאכל אחד רוחני׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa roho.

Hebrew

הנולד מן הבשר בשר הוא והנולד מן הרוח רוח הוא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vipaji vya kiroho ni vya namna nyingi, lakini roho avitoaye ni mmoja.

Hebrew

ושנות הנה המתנות אבל הרוח אחד הוא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana ninatamani sana kuwaoneni ili nipate kuwagawieni zawadi ya kiroho na kuwaimarisha.

Hebrew

כי נכסף נכספתי לראותכם ולחלק לכם אי זו מתת רוח למען תתחזקי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hampungukiwi kipaji chochote cha kiroho mkiwa mnangojea kufunuliwa kwake bwana wetu yesu kristo.

Hebrew

עד כי לא חסרתם כל מתן החסד והנכם מחכים להתגלות אדנינו ישוע המשיח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kwamba sheria ni ya kiroho, lakini mimi ni wa kidunia, mimi nimeuzwa kuwa mtumwa wa dhambi.

Hebrew

כי ידעים אנחנו שהתורה היא רוחנית ואני של בשר ונמכר תחת יד החטא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa sisi tumepanda mbegu ya kiroho kati yenu, je, ni jambo kubwa tukichuma kwenu faida ya kidunia?

Hebrew

אם זרענו בכם עניני הרוח הכי דבר גדול הוא אם נקצר מכם עניני הבשר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi ya hayo sisi tunawaheshimu wazazi wetu waliotuzaa hata wanapotuadhibu. basi, tunapaswa kumtii zaidi baba yetu wa kiroho ili tupate kuishi.

Hebrew

ועוד אם אבות בשרנו היו מיסרים אתנו ונירא מהם אף כי נכנע לפני אבי הרוחות ונחיה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitahidini kuwa na upendo. vilevile fanyeni bidii ya kupata vipaji vingine vya kiroho, hasa kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu.

Hebrew

רדפו אחרי האהבה והתאוו מתנות הרוח וביותר אשר תתנבאו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

atukuzwe mungu na baba wa bwana wetu yesu kristo! maana, katika kuungana na kristo ametubariki kwa kutujalia zawadi zote za kiroho mbinguni.

Hebrew

ברוך הוא האלהים ואבי אדנינו ישוע המשיח אשר ברכנו בכל ברכת רוח במרומים במשיח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi sisi twafundisha, si kwa maneno tuliyofundishwa kwa hekima ya binadamu, bali kwa maneno tuliyofundishwa na roho, tukifafanua mambo ya kiroho kwa walio na huyo roho.

Hebrew

ואת זאת נדבר לא בדברים אשר תלמדם חכמת בני אדם כי אם בדברים אשר רוח הקדש תלמדם ונבאר דברים רוחניים על פי הרוח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo, hao waliokufa ambao walikuwa wamehukumiwa katika maisha yao ya kimwili kama anavyohukumiwa kila mmoja, walihubiriwa habari njema kusudi katika maisha yao ya kiroho waishi kama aishivyo mungu.

Hebrew

כי על כן התבשרו גם המתים למען ישפטו בבשר לפי דרך בני אדם ויחיו ברוח לפי דרך אלהים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kosa la wayahudi limesababisha baraka nyingi kwa ulimwengu, na utovu wao kwa kiroho umeleta baraka nyingi kwa watu wa mataifa mengine. basi, ni dhahiri zaidi kwamba utimilifu wao utasababisha baraka nyingi zaidi.

Hebrew

ואם פשעם עשר העולם וחסרונם עשר הגוים מלאם על אחת כמה וכמה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ujumbe wa kristo ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake wote. fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. imbeni zaburi, nyimbo na tenzi za kiroho; mwimbieni mungu mioyoni mwenu kwa shukrani.

Hebrew

דבר האדון ישכן בקרבכם בשפע רב בכל חכמה ותלמדו ותעוררו את נפשכם בתהלות ותשבחות ושירות רוחניות ושירו ליהוה בנעימה בלבבכם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wao wenyewe wameamua kufanya hivyo; lakini, kwa kweli, hilo ni jukumu lao kwa hao. maana, ikiwa watu wa mataifa mengine wameshiriki baraka za kiroho za wayahudi, wanapaswa nao pia kuwahudumia wayahudi katika mahitaji yao ya kidunia.

Hebrew

כי הואילו ואף מחיבים הם להם כי אם היה לגוים חלק בדברי הרוח אשר להם הלא עליהם לעזרם גם בדברי הגוף׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,947,462,446 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK