Results for kuabudu translation from Swahili to Hebrew

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

kuabudu

Hebrew

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

kulikuwa na wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokuwa wamefika yerusalemu kuabudu wakati wa sikukuu hiyo.

Hebrew

ובתוך העלים להשתחות בחג היו אנשים יונים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

unaweza kujihakikishia kwamba si zaidi ya siku kumi na mbili tu zimepita tangu nilipokwenda kuabudu yerusalemu.

Hebrew

אתה תוכל לדעת אשר לא עברו יותר משנים עשר יום מעת עלותי ירושלים להשתחות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuabudu sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, choyo, mabishano, mafarakano;

Hebrew

עבודת אלילים וכשוף איבות ומצות וקנאה ורגז מריבות מחלקות וכתות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanaubadili ukweli juu ya mungu kwa uongo; wanaheshimu na kuabudu kiumbe badala ya muumba mwenyewe, ambaye ndiye astahiliye sifa milele! amina.

Hebrew

אשר המירו אמת האלהים בכזב ויכבדו ויעבדו את הבריה תחת בראה המברך לעולמים אמן׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilichoandika ni hiki: msishirikiane na ndugu mkristo aliye mzinzi, mchoyo, mwenye kuabudu sanamu, mchongezi mlevi na mlaghai. mtu wa namna hiyo, hata kula msile naye.

Hebrew

אך זאת כתבתי לכם לבלתי התערב עם איש אשר אח יקרא והוא זנה או בצע בצע או עבד אלילים או מגדף או סבא או גזלן עם האיש אשר כזה גם לא תאכלו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jueni wazi kwamba mwasherati yeyote au mchafu au mfisadi, (ufisadi ni sawa na kuabudu sanamu), au mtu yeyote wa aina hiyo hataambulia chochote katika utawala wa kristo na wa mungu.

Hebrew

כי זאת ידע תדעו כי כל זנה וטמא ואהב בצע שהוא עבד אלילים אין לו חלק ונחלה במלכות המשיח והאלהים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, komesheni kabisa kila kitu kilicho ndani yenu ambacho chahusika na mambo ya kidunia: uasherati, uchafu, shauku, tamaa mbaya na uchu (ambao ni sawa na kuabudu sanamu).

Hebrew

על כן תמותתו את אבריכם בארץ את הזנות והטמאה והזמה והתאות הרעות ונטות אחרי הבצע אשר היא עבודת אלילים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,807,654 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK