Results for kupitia translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

hakumruhusu mtu yeyote kupitia hekaluni akichukua kitu.

Hebrew

ולא הניח לאיש לשאת כלי דרך המקדש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kupitia katika nchi ya pisidia, walifika pamfulia.

Hebrew

ויעברו בפיסדיא ויבאו אל פמפוליא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini anayeingia kwa kupitia mlangoni, huyo ndiye mchungaji wa kondoo.

Hebrew

ואשר יבוא דרך השער הוא רעה הצאן׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitakuja kwenu, baada ya kupitia makedonia--maana nataraji kupitia makedonia.

Hebrew

ואני אבא אליכם אחרי עברי את מקדוניא כי את מקדוניא אעברה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye ametufungulia njia mpya na yenye uzima kupitia lile pazia, yaani kwa njia ya mwili wake mwenyewe.

Hebrew

דרך חדש וחי אשר חדש לנו בפרכת היא בשרו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha yesu aliondoka wilayani tiro, akapitia sidoni, akafika ziwa galilaya kwa kupitia nchi ya dekapoli.

Hebrew

וישב ויצא מגבול צור וצידון ויבא אל ים הגליל בתוך גבול עשר הערים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikaa huko muda mfupi, halafu akaendelea na safari kwa kupitia sehemu za galatia na frugia akiwatia moyo wafuasi wote.

Hebrew

וישב שם ימים אחדים וילך למסעיו ויעבר בארץ גלטיא ופרוגיא ויחזק את כל התלמידים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu na wanafunzi wake waliondoka hapo, wakaendelea na safari kupitia wilaya ya galilaya. yesu hakupenda watu wajue alipokuwa,

Hebrew

ויצאו משם ויעברו בגליל ולא אבה להודע לאיש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sisi tulipanda meli tukatangulia kwenda aso ambako tungemchukua paulo. ndivyo alivyopanga; maana alitaka kufika huko kwa kupitia nchi kavu.

Hebrew

ואנחנו קדמנו לרדת באניה ונעבר אסוסה למען נקח שם אתנו את פולוס כי כן צוה והוא חשב בלבו ללכת שמה ברגליו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

paulo alikuwa amekusudia kuendelea na safari kwa meli bila kupitia efeso ili asikawie zaidi huko asia. alikuwa na haraka ya kufika yerusalemu kwa sikukuu ya pentekoste kama ingewezekana.

Hebrew

כי פולוס אמר לעבר מעל פני אפסוס פן יצטרך להתמהמה באסיא כי אץ לבוא אם יוכל עד חג השבועות ירושלים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akawaambia, "jitahidini kuingia kwa kupitia mlango mwembamba; maana nawaambieni, wengi watajaribu kuingia lakini hawataweza.

Hebrew

ויאמר אליהם התאמצו לבוא בפתח הצר כי אמר אני לכם רבים יבקשו לבוא ולא יוכלו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tulipanda meli ya adiramito iliyokuwa inasafiri na kupitia bandari kadhaa za mkoa wa asia, tukaanza safari. aristarko, mwenyeji wa makedonia kutoka thesalonika, alikuwa pamoja nasi.

Hebrew

ונרד אל אניה אדרמטית נכנים לבוא על פני חוף אסיא ונעבר הימה ויהי אתנו ארסטרכוס מוקדון מן תסלוניקי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi.

Hebrew

באו בפתח הצר כי רחב הפתח ומרוח הדרך המביא לאבדון ורבים אשר יבאו בו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mto huo ulitiririka kupitia katikati ya barabara kuu ya mji. kandokando ya mto huo kulikuwa na mti wa uzima unaozaa matunda mara kumi na mbili kwa mwaka, yaani kila mwezi; na majani yake ni dawa ya kuwaponya watu wa mataifa.

Hebrew

ובתוך רחוב העיר ואל שפת הנחל מזה ומזה עץ חיים עשה פרי שנים עשר כי מדי חדש בחדשו יתן את פריו ועלה העץ לתרופת הגוים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alisema "kweli nawaambieni, yeyote yule asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia mlangoni, bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, huyo ni mwizi na mnyang'anyi.

Hebrew

אמן אמן אני אמר לכם איש אשר לא יבוא דרך השער אל מכלא הצאן כי אם יעלה בדרך אחר גנב ופריץ הוא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,126,184 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK