From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
nao mara wakaiacha mashua pamoja na baba yao, wakamfuata.
ויעזבו מיד את האניה ואת אביהם וילכו אחריו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipanda mashua, na wanafunzi wake wakaenda pamoja naye.
וירד אל האניה וירדו אתו תלמידיו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake.
וירד באניה ויעבר ויבא אל עירו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, wakaondoka peke yao kwa mashua, wakaenda mahali pa faragha.
וילכו משם באניה אל מקום חרבה לבדד׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, yesu akawaaga watu, akapanda mashua, akaenda katika eneo la magadani.
וישלח את העם וירד באניה ויבא אל גבול מגדלא׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, baada ya kuzileta zile mashua ukingoni mwa ziwa, wakaacha yote, wakamfuata.
ויוליכו את האניות אל היבשה ויעזבו את הכל וילכו אחריו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.
ויהי ערב והאניה באה בתוך הים והוא לבדו ביבשה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wakapanda mashua ili wavuke kwenda kafarnaumu. giza lilikuwa limeingia, na yesu alikuwa hajawafikia bado.
ויכס אתם החשך וישוע לא בא אליהם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
akaona mashua mbili ukingoni mwa ziwa; wavuvi wenyewe walikuwa wametoka, wanaosha nyavu zao.
וירא שתי אניות עמדות על יד הים והדיגים יצאו מהן וידיחו את המכמרות׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
makundi makubwa ya watu yalimzunguka hata yesu akapanda mashua, akaketi. hao watu walisimama kwenye ukingo wa ziwa,
ויקהלו אליו המון עם רב וירד אל האניה וישב בה וכל העם עמדים על שפת הים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na wakati huo ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikuwa inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.
והאניה הלכה בתוך הים ותטרף מן הגלים כי הרוח לנגדה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wakawaita wenzao waliokuwa katika mashua nyingine waje kuwasaidia. wakaja, wakazijaza mashua zote mbili samaki, hata karibu zingezama.
ויניפו יד אל חבריהם אשר באמיה השנית לבוא אליהם ולעזרם ויבאו וימלאו את שתי האניות עד כי שקעו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mara yesu akawaamuru wanafunzi wake wapande mashua, wamtangulie kwenda bethsaida, ng'ambo ya ziwa, wakati yeye anauaga umati wa watu.
ואחרי כן האיץ בתלמידיו לרדת באניה ולעבור לפניו אל עבר הים אל בית צידה עד שלחו את העם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wakazi wa nchi ya gerase walishikwa na hofu kubwa. kwa hiyo wakamwomba yesu aondoke, aende zake. hivyo yesu alipanda tena mashua, akaondoka.
ויבקשו ממנו כל המון חבל הגדריים ללכת מאתם כי אימה גדולה נפלה עליהם וירד אל האניה וישב׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu alianza kufundisha tena akiwa kando ya ziwa. umati mkubwa wa watu ulimzunguka hata ikambidi aingie katika mashua na kuketi. watu wakawa wamekaa katika nchi kavu, kando ya ziwa.
וישב אל הים ויחל ללמד ויקהלו אליו המון עם רב עד אשר ירד לשבת באניה בים וכל העם עומד על חוף הים ביבשה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kesho yake umati wa watu wale waliobaki upande wa pili wa ziwa walitambua kwamba kulikuwa na mashua moja tu pale, na yesu hakuingia katika mashua pamoja na wanafunzi wake, ila wanafunzi hao walikuwa wamekwenda zao peke yao.
ויהי ממחרת וירא המון העם העמד מעבר לים כי לא היתה אניה בזה בלתי אחת אשר ירדו בה תלמידיו וכי ישוע לא בא עם תלמידיו אל האניה אך תלמידיו לבדם נסעו מזה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
yesu akawaambia, "tupeni wavu upande wa kulia wa mashua nanyi mtapata samaki." basi, wakatupa wavu lakini sasa hawakuweza kuuvuta tena kwa wingi wa samaki.
ויאמר להם השליכו המכמרת מימין לאניה ותמצאו וישליכו ולא יכלו עוד למשך אתה מרב הדגים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
yesu alikuwa sehemu ya nyuma ya mashua, amelala juu ya mto. basi, wanafunzi wakamwamsha na kumwambia, "mwalimu, je, hujali kwamba sisi tunaangamia?"
והוא ישן על הכסת באחרי האניה ויעירו אותו ויאמרו אליו רבי האינך דאג לנו כי נאבד׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
alipokwenda mbele kidogo, aliwaona ndugu wengine wawili: yakobo na yohane, wana wa zebedayo. hao walikuwa ndani ya mashua pamoja na baba yao zebedayo, wakitengeneza nyavu zao. basi yesu akawaita,
ויהי כעברו משם וירא שני אנשים אחים אחרים את יעקב בן זבדי ואת יוחנן אחיו באניה עם זבדי אביהם מתקנים את מכמרותם ויקרא אליהם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: