Results for nipate translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

"baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena.

Hebrew

על כן אהב אתי אבי כי את נפשי אתן למען אשוב ואקחה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nafanya haya yote kwa ajili ya habari njema, nipate kushiriki baraka zake.

Hebrew

ואת זאת אני עשה בעבור הבשורה למען אקח חלקי בה גם אנכי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana ninatamani sana kuwaoneni ili nipate kuwagawieni zawadi ya kiroho na kuwaimarisha.

Hebrew

כי נכסף נכספתי לראותכם ולחלק לכם אי זו מתת רוח למען תתחזקי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halafu aliwaongoza nje, akawauliza, "waheshimiwa, nifanye nini nipate kuokoka?"

Hebrew

ויוציאם החוצה ויאמר אדני מה עלי לעשות למען אושע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

huyo mtu akajibu, "mheshimiwa, niambie yeye ni nani, ili nipate kumwamini."

Hebrew

ויען ויאמר מי הוא זה אדני למען אאמין בו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"unataka nikufanyie nini?" naye akamjibu, "bwana, naomba nipate kuona tena."

Hebrew

מה חפצך כי אעשה לך ויאמר אדני כי אראה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwao walio dhaifu nimejifanya dhaifu ili niwapate hao walio dhaifu. nimejifanya kila kitu kwa wote ili nipate kuwaokoa baadhi yao kwa kila njia.

Hebrew

ולחלשים הייתי כחלש לקנות את החלשים הכל לכלם נהייתי למען בכל דרך אושיע אחדים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini nimewaandikia hapa na pale katika barua hii bila woga, nipate kuwakumbusheni juu ya mambo fulani. nimefanya hivyo kwa sababu ya neema aliyonijalia mungu

Hebrew

אך העזתי מעט בכתבי אליכם הנה והנה כמזכיר אתכם על פי החסד הנתון לי מאת האלהים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadaye mwalimu mmoja wa sheria alisimama akamwuliza akitaka kumtega, "mwalimu, nifanye nini ili nipate uzima wa milele?"

Hebrew

והנה אחד מבעלי התורה קם לנסותו ויאמר מורה מה אעשה ואירש חיי עולם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mimi niliihubiri kwenu habari njema ya mungu bila kudai mshahara; nilijinyenyekeza ili nipate kuwakweza ninyi. je, nilifanya vibaya?

Hebrew

או החטא חטאתי בהשפילי את עצמי למען הגביהכם כי בשרתי אתכם בלא מחיר את בשורת האלהים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akamwuliza, "unataka nikufanyie nini?" huyo kipofu akamwambia, "mwalimu, naomba nipate kuona."

Hebrew

ויען ישוע ויאמר אליו מה חפצת ואעשה לך ויאמר אליו העור רבוני כי אראה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana, kuhusu sheria hiyo, mimi nimekufa; sheria yenyewe iliniua, nipate kuishi kwa ajili ya mungu. mimi nimeuawa pamoja na kristo msalabani,

Hebrew

כי מתי אני לתורה על ידי התורה למען אחיה לאלהים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndio maana nilimtuma timotheo kwenu. sikuweza kungoja zaidi, na hivyo nilimtuma nipate habari za imani yenu. isije ikawa labda mshawishi aliwajaribuni na kazi yote tuliyofanya miongoni mwenu imepotea bure!

Hebrew

ובעבור כן לא יכלתי עוד להתאפק ואשלח לדעת אמונתכם כי אמרתי פן נסה אתכם המנסה והיתה לריק יגיעתנו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"mungu ameyapofusha macho yao, amezipumbaza akili zao; wasione kwa macho yao, wasielewe kwa akili zao; wala wasinigeukie, asema bwana, ili nipate kuwaponya."

Hebrew

השע עיניהם והשמין לבבם פן יראו בעיניהם ולבבם יבין ושבו ורפאתי להם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,884,434,608 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK