Results for pekee translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

kwa hiyo watawaombea ninyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni mungu.

Hebrew

והם בהתחננם בעדכם נכספים לכם בעבור חסד האלהים אשר גבר עליכם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi nimefanywa kuwa mtumishi wa habari njema kwa neema ya pekee aliyonijalia mungu kwa uwezo wake mkuu.

Hebrew

אשר הייתי לה למשרת במתנת חסד אלהים הנתונה לי כפי פעלת גבורתו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.

Hebrew

והאלהים יתן לו גוף כפי רצונו ולכל זרע וזרע את גופו למינהו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mungu alionyesha upendo wake kwetu kwa kumtuma mwanae wa pekee ulimwenguni, ili tuwe na uzima kwa njia yake.

Hebrew

בזאת נראתה אהבת האלהים לנו כי שלח האלהים את בנו את יחידו לעולם למען נחיה על ידו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"anayemwamini mwana hahukumiwi; asiyemwamini amekwisha hukumiwa kwa sababu hakumwamini mwana wa pekee wa mungu.

Hebrew

המאמין בו לא ידון ואשר לא יאמין בו כבר נדון כי לא האמין בשם בן האלהים היחיד׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

maana mungu aliupenda ulimwengu hivi hata akamtoa mwana wake wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

Hebrew

כי ככה אהב האלהים את העולם עד אשר נתן את בנו את יחידו למען לא יאבד כל המאמין בו כי אם יחיה חיי עולמים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na mungu mwenye heri na aliye mtawala pekee, mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.

Hebrew

אשר יראנה בעתה המברך והשליט לבדו מלך המלכים ואדני האדנים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna mtu aliyemwona mungu wakati wowote ule. mwana wa pekee aliye sawa na mungu ambaye ameungana na baba, ndiye aliyetujulisha habari za mungu.

Hebrew

את האלהים לא ראה איש מעולם הבן היחיד אשר בחיק האב הוא הודיע׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu hakumhurumia hata mwanae wa pekee, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. ikiwa amefanya hivyo, je, hatatujalia pia mema yote?

Hebrew

אשר על בנו יחידו לא חס כי אם נתנו בעד כלנו הלא גם יתן לנו עמו את הכל׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye neno akawa mwanadamu, akakaa kwetu. nasi tumeuona utukufu wake, utukufu wake yeye aliye mwana wa pekee wa baba; amejaa neema na ukweli.

Hebrew

והדבר נהיה בשר וישכן בתוכנו ונחזה תפארתו כתפארת בן יחיד לאביו רב חסד ואמת׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, alipokuwa anakaribia lango la mji, walitokea watu wamebeba maiti ya kijana mmoja, mtoto wa pekee wa mama mjane. watu wengi wa mji ule walikuwa pamoja na huyo mama.

Hebrew

הוא קרב אל שער העיר והנה מוציאים מת בן יחיד לאמו והיא אלמנה ועמה רבים מעם העיר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kama mtu atajitakasa kwa kujitenga mbali na mambo hayo yote maovu, atakuwa chombo cha matumizi ya pekee, kwa sababu amewekwa wakfu, anamfaa bwana wake na yupo tayari kwa kila kazi njema.

Hebrew

והנה אם טהר איש את נפשו מאלה יהיה כלי לכבוד מקדש ומועיל לבעל הבית מוכן לכל מעשה טוב׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaaza sauti, akasema, "mwalimu! ninakusihi umwangalie mwanangu--mwanangu wa pekee!

Hebrew

והנה איש אחד מן העם צעק לאמר אנא רבי פנה נא אל בני כי יחיד הוא לי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakuna tena wa kununua dhahabu yao, fedha, mawe ya thamani na lulu, kitani na nguo za rangi ya zambarau, hariri na nguo nyekundu; vyombo vya kila aina ya miti ya pekee, vyombo vya pembe za ndovu, vya miti ya thamani kubwa, vya shaba, chuma na marmari;

Hebrew

את משא זהב וכסף ואבן יקרה ופנינים ובוץ וארגמן ומשי ושני וכל עצי בשם וכל כלי שנהבים וכל כלי עץ יקר וכלי נחשת וברזל ושיש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,925,140,314 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK