Results for penye translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

basi, yesu akawaamuru wanafunzi wawaketishe watu wote makundimakundi penye nyasi.

Hebrew

ויצו אותם לשבת כלם חברה חברה לבדה על ירק הדשא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka penye mawe, na baada ya kuota zikanyauka kwa kukosa maji.

Hebrew

ויש אשר נפל על הסלע ויצמח וייבש כי לא היתה לו לחה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ile mbegu iliyopandwa penye mawe ni mfano wa mtu asikiaye ujumbe huo na mara akaupokea kwa furaha.

Hebrew

והנזרע על הסלע הוא השמע את הדבר וימהר ויקחנו בשמחה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wengine ni kama zile mbegu zilizopandwa penye mawe. mara tu wanapolisikia hilo neno hulipokea kwa furaha.

Hebrew

וכן הנזרעים על מקמות הסלע הם השמעים את הדבר ומהר בשמחה יקחהו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wengine ni kama zile mbegu zilizoanguka penye miti ya miiba. huo ni mfano wa wale wanaolisikia hilo neno,

Hebrew

והאחרים הנזרעים בין הקצים הם השמעים את הדבר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. mbegu hizo ziliota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina.

Hebrew

ויש אשר נפל על מקום הסלע אשר אין לו שם אדמה הרבה וימהר לצמח כי לא היה לו עמק אדמה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi hamkuwasili mlimani sinai, ambao unaweza kushikika kama walivyofanya watu wa israeli, hamkufika kwenye moto uwakao, penye giza, tufani,

Hebrew

כי לא באתם אל הר נמשש ובער באש ולא אל ענן וערפל וסערה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipokuwa bado wanaendelea na safari walifika mahali penye maji na huyo ofisa akasema, "mahali hapa pana maji; je, kuna chochote cha kunizuia nisibatizwe?"

Hebrew

ויהי בעברם בדרך ויבאו אל מקום מים ויאמר הסריס הנה מים מה ימנעני מהטבל׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tena, ujumbe wa manabii watuthibitishia jambo hilo; nanyi mwafanya vema kama mkiuzingatia, maana ni kama taa inayoangaza mahali penye giza mpaka siku ile itakapopambazuka na mwanga wa nyota ya asubuhi utakapong'ara mioyoni mwenu.

Hebrew

ועתה דבר הנבואה יותר קים אתנו והטיבתם עשות אשר שתם לבכם אליו כמו אל נר מאיר במקום אפל עד כי יבקע אור היום וזרח כוכב הנגה בלבבכם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,800,469 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK