Results for tumekuwa translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

kila wakati tumekuwa tukichukua mwilini mwetu kifo cha kristo, ili uhai wake yesu pia udhihirike katika miili yetu.

Hebrew

ונשאים בכל עת מיתת האדון ישוע בגויתנו למען יגלו גם חיי ישוע בגויתנו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo tumekuwa tukiwaombeeni daima tangu tulipopata habari zenu. tunamwomba mungu awajazeni ujuzi kamili wa mapenzi yake, awajazeni hekima yote na elimu iletwayo na roho wake.

Hebrew

בעבור זאת גם אנחנו למן היום אשר שמענוה לא חדלנו להתפלל בעדכם ולבקש שתמלאו דעת רצון האלהים בכל חכמה ותבונה רוחנית׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nafikiri mungu ametufanya sisi mitume tuwe watu wa mwisho kabisa, kama watu waliohukumiwa kuuawa, maana tumekuwa tamasha mbele ya ulimwengu wote, mbele ya malaika na watu.

Hebrew

כי אחשב שהאלהים הציג אתנו השליחים שפלי השפלים כבני תמותה כי היינו לראוה לעולם גם למלאכים גם לבני אדם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini sasa tumekuwa huru kutoka vifungo vya sheria, kwa sababu tumekufa kuhusu lile jambo lililotufanya sisi watumwa. sasa tunatumikia kufuatana na maisha mapya ya roho, na si kufuatana na hali ile ya kale ya sheria iliyoandikwa.

Hebrew

אבל עתה נפטרנו מן התורה כי מתנו לאשר היינו אסורים בו למען נעבד מעתה לפי התחדשות הרוח ולא לפי ישן הכתב׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi nilimwita tito, nikamtuma kwenu na ndugu yetu mwingine. je, tito aliwanyonyeni? je, hamjui kwamba sisi tumekuwa tukiongozwa na roho yuleyule, na mwenendo wetu ni mmoja?

Hebrew

בקשתי מן טיטוס ושלחתי אתו את האח הכי הונה אתכם טיטוס הלא ברוח אחד התהלכנו הלא במעגל אחד׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wazazi wake walipomwona walishangaa. maria, mama yake, akamwuliza, "mwanangu, kwa nini umetutenda hivyo? baba yako na mimi tumekuwa tukikutafuta kwa huzuni."

Hebrew

ויהי כראותם אתו ויחרדו ותאמר אליו אמו בני מדוע ככה עשית לנו הנה אביך ואנכי בעצבת לב בקשנוך׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,932,163,018 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK