Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
fahari na utajiri wa watu wa mataifa utaletwa humo ndani.
והביאו בה כבוד הגוים ותפארתם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake, na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
והגוים ילכו לאורה ומלכי ארץ מביאים כבודם ותפארתם אליה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
je, kuna faida gani mtu kuupata utajiri wote wa dunia kwa kujipoteza au kujiangamiza yeye mwenyewe?
כי מה יועיל האדם כי יקנה את כל העולם ואבד והשחית את נפשו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
namwomba mungu, kadiri ya utajiri wa utukufu wake, awajalieni kwa uwezo wa roho wake, nguvu ya kuwa imara ndani yenu,
לתת לכם לפי עשר כבודו להתחזק בגבורה על ידי רוחו לאדם הפנימי׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na ubishi usio na kikomo kutoka kwa watu ambao akili zao zimeharibika, na ambao hawana tena ukweli. wanadhani dini ni njia ya kujipatia utajiri.
וכוחי הבל של אנשים נשחתי דעת ומחסרי אמת השמים את החסידות לדבר בצע סור מאנשים כאלה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!" halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,
וכל חבל וכל בעל מעברת והמלחים וכל עשי מלאכה בים עמדו מרחוק׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wafanyabiashara wanamwambia: "faida yote uliyotazamia imetoweka, na utajiri na fahari vimekuponyoka; hutaweza kuvipata tena!"
והמגדים מחמד נפשך אזלו ממך וכל שמן ומצהיר אבד ממך ולא תמצאם עוד׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
utajiri, hekima na elimu ya mungu ni kuu mno! huruma zake hazichunguziki, na njia zake hazieleweki! kama yasemavyo maandiko matakatifu:
מה עמק עשר חכמת אלהים ועשר דעתו משפטיו מי יחקר ודרכיו מי ימצא׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wakasema kwa sauti kuu: "mwanakondoo aliyechinjwa anastahili kupokea uwezo, utajiri, hekima, nguvu, utukufu na sifa."
קראים בקול גדול נאה לשה הטבוח לקחת עז ועשר וחכמה וגבורה והדר וכבוד וברכה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ujumbe wa kristo ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake wote. fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. imbeni zaburi, nyimbo na tenzi za kiroho; mwimbieni mungu mioyoni mwenu kwa shukrani.
דבר האדון ישכן בקרבכם בשפע רב בכל חכמה ותלמדו ותעוררו את נפשכם בתהלות ותשבחות ושירות רוחניות ושירו ליהוה בנעימה בלבבכם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wakajimwagia vumbi juu ya vichwa vyao wakilia kwa sauti na kuomboleza: "ole! ole kwako mji mkuu! ni mji ambamo wote wenye meli zisafirizo baharini walitajirika kutokana na utajiri wake. kwa muda wa saa moja tu umepoteza kila kitu!"
ויזרקו עפר על ראשיהם ויצעקו בכה וספוד לאמר אוי אוי העיר הגדולה אשר בה העשירו מהונה כל אשר להם אניות בים כי בשעה אחת החרבה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting