From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa hiyo, kuhusu vyakula vilivyotambikiwa sanamu, twajua kwamba sanamu si kitu duniani; twajua kwamba mungu ni mmoja tu.
ועל דבר אכילת זבחי האלילים הנה ידענו כי האליל אין בעולם ואין אלהים בלתי אחד׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini ninayo machache dhidi yako: baadhi yenu ni wafuasi wa balaamu aliyemfundisha balaki kuwatega wana wa israeli wale vyakula vilivyotambikiwa sanamu za kufanya uzinzi.
אך מעט יש לי עליך כי שם עמך אנשים דבקים בתורת בלעם אשר הורה את בלק לתת מכשול לפני בני ישראל לאכל מזבחי אלילים ולזנות׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hiyo, basi, msikubali kupewa masharti na mtu yeyote kuhusu vyakula au vinywaji, siku za sherehe, sikukuu ya mwezi mpya au sabato.
על כן לא ידין איש אתכם על דבר מאכל ומשקה או בענין המועדים וראשי חדשים ושבתות׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini nina hoja moja juu yako: wewe unamvumilia yule mwanamke yezabeli anayejiita nabii wa mungu. yeye huwafundisha na kuwapotosha watumishi wangu wafanye uzinzi na kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu.
אך מעט יש לי עליך כי תניח את האשה איזבל האמרת כי היא נביאה ללמד ולהתעות את עבדי לזנות ולאכל זבחי אלילים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
watu hao hufundisha kwamba ni makosa kuona na pia kula vyakula fulani. lakini mungu aliviumba vyakula hivyo, ili wale walio waumini na ambao wanapata kuujua ukweli, wavitumie kwa shukrani.
אסרים לקחת אשה ומנעים ממיני מאכל אשר בראם האלהים שיאכלות בתודה המאמינים וידעי האמת׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana, mtu ambaye dhamiri yake ni dhaifu, akikuona wewe mwenye ujuzi unakula vyakula hivyo ndani ya hekalu la sanamu, je, hatatiwa moyo wa kula vyakula vilivyotambikiwa sanamu?
כי האיש הראה אתך אשר לך הדעת מסב בבית אלילים הלא יעז ברוחו החלוש לאכל מזבחי אלילים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini, si kila mtu anao ujuzi huu. maana wako watu wengine waliokwisha zoea sanamu, watu ambao mpaka hivi sasa wanapokula vyakula huviona bado kama vyakula vilivyotambikiwa sanamu. na kwa vile dhamiri zao ni dhaifu, hutiwa unajisi.
אך לא בכלם הדעת כי יש אשר בזכרם עוד את האליל אכלים כזבח האליל ובכן לבם החלוש יתגאל׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
msile vyakula vilivyotambikiwa sanamu; msinywe damu; msile nyama ya mnyama aliyenyongwa; na mjiepushe na uasherati. mtakuwa mmefanya vema kama mkiepa kufanya mambo hayo. wasalaam!"
אשר תרחקו מזבחי אלילים ומן הדם ומבשר הנחנק ומן הזנות אם מאלה תשמרו את נפשתיכם תיטיבו לעשות ושלום לכם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting