From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maana sisi ndio hao aliowaita, si tu kutoka miongoni mwa wayahudi bali pia kutoka kwa watu wa mataifa mengine.
cioè verso di noi, che egli ha chiamati non solo tra i giudei ma anche tra i pagani, che potremmo dire
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
tunajua kwamba, katika mambo yote, mungu hufanya kazi na kuifanikisha pamoja na wote wampendao, yaani wale aliowaita kufuatana na kusudi lake.
del resto, noi sappiamo che tutto concorre al bene di coloro che amano dio, che sono stati chiamati secondo il suo disegno
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, mungu aliwaita wale aliokuwa amewateua; na hao aliowaita aliwakubali kuwa waadilifu; na hao aliowakubali kuwa waadilifu aliwashirikisha pia utukufu wake.
quelli poi che ha predestinati li ha anche chiamati; quelli che ha chiamati li ha anche giustificati; quelli che ha giustificati li ha anche glorificati
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
watapigana na mwanakondoo, lakini mwanakondoo pamoja na wale aliowaita na kuwachagua, ambao ni waaminifu, atawashinda kwa sababu yeye ni bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme."
essi combatteranno contro l'agnello, ma l'agnello li vincerà, perché è il signore dei signori e il re dei re e quelli con lui sono i chiamati, gli eletti e i fedeli»
Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting